Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Mtanzania shukrani hana kama kunguru anamuibia mtu nyama ya ndani ya sufuria halafu akimkuta kavaa shati jeupe analichafua na kinyesi.

JPM hakuongeza mishahara miaka yake yote huyu Rais Samia anakwenda kuongeza kwa wafanyakazi elfu sabini na bado wanasema hafai.
 
Taarabu jazi band,, akili zako azina akili, upambe wakishamba sana unaleta humu.

Utumishi wa Umma una miiko yake , ndio kinachozungumziwa hapa.
Nasari amekosa sifa ya kuwa mtumishi wa Umma, kwa mujibu wa Ndugai LiCCM mwenzio.

Samia anazingua ,na hizo taarabu sio sifa ya utumishi wa Umma. Pumbavu.
 
mi nadharia yangu ni kuwa kilichotokea kwa nassari ni mkakat wake mwenyewe kwa ubia na serkali ile. sema tu njia yake ya kuunga juhudi sio iliyozoeleka. alifanya technical error makusudi. kama hakim kumhukum mtuhumiwa lakin akaacha mwanya wa rufaa hata kumwandikia sabab za rufaa kunusuru! ccm ina uhalali sasa kumpa shavu mana alifanya mission accomplished!
siasa-ajira zitaendelea kulitesa taifa sana.
hadi sasa watu weng wanajadili kupata na kukosa u dc lakin hatujadili kwanini hiv vyeo vinakuwepo na kuitafuna kodi ya nchi yenye bajet omba omba! kwanini asiwepo tu mkurugenzi na kisiasa mbunge! kila jambo uanzia 0. tujadili umuhim wa u dc, u rc. au walipwe kwa ruzuku ya chama kilichopo madarakan. ni vyeo vya kikolon tu!
 
Msijitie wehu nassari alitolewa makusudi ili kuua upinzani naye akaambiwa jidai unacomplain lkn tutakupa maisha usijali!!
Spwikwa aliongoza genge la wahuni kuiporomosha demokrasia bungeni na nchini kiujumla.
 
naanza kuamini kwanini kina prof Mabula Mchembe walikua wanataka huyu mama asiwe Rais kabisa , hana uwezo na wanaomshauri wanafurahia anavyoingia chaka ili aonekane silolote, kimsingi ame prove kuwa wanawake hawawezi kitu chochote
 
Mm ninachojua alichokifanya nasari ulikua mpango mkakati wa mwendazake akishirikiana Kwa Karibu na aliyekua mkuu wa wilaya ALEXANDA MNYETI.
au mmesahau huo mkakati?
Hivyo kuvuliwa ubunge Kwa nasari halikua jambo LA Bahati mbaya la lilikua ni jambo LA makusudi na spika Ndugai alijulishwa kinachoendelea
 
Kwani
Kwani hata aliyekuwepo alifika wapi na tabia yake ya kudhurumu haki za watu. Anaweza kuamua kuchukua mwenendo wa mwendzake lkn hatafika mbali.
Historia ikufunze kuwa hakuna aliyedhurumu haki za watu akadumu
 
Ni baada ya kumuumbua Mnyeti akinunua madiwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…