Martin Maranja Masese: Vipindi vya redio hapa Tanzania vinaharibu fikra na mitazamo yetu wasikilizaji

Martin Maranja Masese: Vipindi vya redio hapa Tanzania vinaharibu fikra na mitazamo yetu wasikilizaji

They're customer oriented wameangalia watanzania wanahitaji nini na radio zimewapatia
Hivyo vipindi vinawalipa that's why Kila radio unaona vinashupalia hizo program

Mpira
Ngono
Umbea
Betting
Wachungaji wa Michongo
Uchawa
Gen -Z wa Tanzania na kaya zote maskini duniani zina interst/tabia mfanano:
  1. Ngono.
  2. Ngono na mke wa mtu.
  3. Betting.
  4. Umbea, hasa unaohusu ngono.
  5. Uchawa[Maskini wote duniani ndio wanatumiwa na matajiri kuingia madarakani]
 
Nimeshangaa@Inside(10)kuwepo stendi Misungwi muda huu na hajatueleza anafanya nini baada ya kupost sledi hii.
Mchana ongeza na tamthilia za akina etugrul acha akina sinema zatu,movi za kinaijeria ukiongeza na kizungu,kihindi achilia mbali akina play station malizia na betting za mchina taifa hakuna ila yamesalia mazombi,hapo hujaja kwa walevi wa vimasikio sungura smart gin,acha burdani,gongo waachie wale wa kazuramimba.Hapo hujawagusa akina Athumani kakikapu kapuyanga.
 
Gen -Z wa Tanzania na kaya zote maskini duniani zina interst/tabia mfanano:
  1. Ngono.
  2. Ngono na mke wa mtu.
  3. Betting.
  4. Umbea, hasa unaohusu ngono.
  5. Uchawa[Maskini wote duniani ndio wanatumiwa na matajiri kuingia madarakani]
Kama laana imewajaa.
 
BAO LA ASUBUHI la TBC limenishangaza linavyowaingia watu!
alafu mtangazaji wa Televisheni ya Taifa anamuuliza msikilizaji UNASKILIZIA BAO LA ASUBUHI ukiwa wapi?
Huenda akiwa tisiiaraei kwa Nzee ya bao la mkono.
 
Nina miaka kadhaa sisikilizi radio, kwanza unasikiliza radio ili usikie nini ambacho haujakipata huku mitandaoni?

Huwa navizia vipindi vya mziki tu.
kwa mjini sawa ila tanzania wengi nje ya miji radio wanazingatia sana. Lakini ndo hivo vipindi vilivotawala ndo hivyo tajwa
 
BAO LA ASUBUHI la TBC limenishangaza linavyowaingia watu!
alafu mtangazaji wa Televisheni ya Taifa anamuuliza msikilizaji UNASKILIZIA BAO LA ASUBUHI ukiwa wapi?
Haya majina mengine hata anaye approve anakuwa hayuko sawa
 
kwa mjini sawa ila tanzania wengi nje ya miji radio wanazingatia sana. Lakini ndo hivo vipindi vilivotawala ndo hivyo tajwa
Sasa huko ndipo wanalishwa haya mautumbo zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ila mijadala ya mpira kwa kweli imezidi mno. Asubuhi saa 3 ukiswitch Radio station, almost kila station inakuwa ianajadili mpira
Yaani upuuzi tu, na Taifa letu limejaa wajinga ndio maana hakuna cha maana kwenye hizi Radio stations.
 
They're customer oriented wameangalia watanzania wanahitaji nini na radio zimewapatia
Hivyo vipindi vinawalipa that's why Kila radio unaona vinashupalia hizo program

Mpira
Ngono
Umbea
Betting
Wachungaji wa Michongo
Uchawa
Nadhani ni mkakati maalumu wa kulifanya Taifa letu liwe la wajinga. Na wamefanikiwa sana. Wananchi wasielimike wawaze michezo tu huku Nchi inauzwa.
 
Upo kama mm, kwenye Tv na radio nataka muziki tuu mana mengine yote nayapata mtandaoni kwa muda mfupi tuu
Tena unayapata in real time.... Hata hivyo vipindi vya uchambuzi mpira sina mzuka navyo maana wachambuzi wenyewe hawana jipya, much know kwa sana...
 
Mfano redio ina baba levo, zembwela na wajinga unategemea wanaweza kuzungumzia nzi ana miguu mingapi japo wapo ofisini mwao
 
Back
Top Bottom