Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Gen -Z wa Tanzania na kaya zote maskini duniani zina interst/tabia mfanano:They're customer oriented wameangalia watanzania wanahitaji nini na radio zimewapatia
Hivyo vipindi vinawalipa that's why Kila radio unaona vinashupalia hizo program
Mpira
Ngono
Umbea
Betting
Wachungaji wa Michongo
Uchawa
Mchana ongeza na tamthilia za akina etugrul acha akina sinema zatu,movi za kinaijeria ukiongeza na kizungu,kihindi achilia mbali akina play station malizia na betting za mchina taifa hakuna ila yamesalia mazombi,hapo hujaja kwa walevi wa vimasikio sungura smart gin,acha burdani,gongo waachie wale wa kazuramimba.Hapo hujawagusa akina Athumani kakikapu kapuyanga.Nimeshangaa@Inside(10)kuwepo stendi Misungwi muda huu na hajatueleza anafanya nini baada ya kupost sledi hii.
Kama laana imewajaa.Gen -Z wa Tanzania na kaya zote maskini duniani zina interst/tabia mfanano:
- Ngono.
- Ngono na mke wa mtu.
- Betting.
- Umbea, hasa unaohusu ngono.
- Uchawa[Maskini wote duniani ndio wanatumiwa na matajiri kuingia madarakani]
Huenda akiwa tisiiaraei kwa Nzee ya bao la mkono.BAO LA ASUBUHI la TBC limenishangaza linavyowaingia watu!
alafu mtangazaji wa Televisheni ya Taifa anamuuliza msikilizaji UNASKILIZIA BAO LA ASUBUHI ukiwa wapi?
Mmm maspanaNimeisoma hii twit yake huko X naona kuna ukweli wa wazi kabisa..
God have mercy on US, tunatengeneza jamii isiyokuwa na fikra chanja na upembuaji wa mambo MTAMBUKA kwa nchi yetu.
Hii hapa twit yake
View: https://x.com/IAMartin_/status/1813497748336898383?t=b2lq6ET75rnkX7FPICy4rw&s=19
-Nini kimekushangaza?
-Nini kimekufurahisha?
-Yapi maoni yako?
Inside10 Misungwi stand, Mwanza
kwa mjini sawa ila tanzania wengi nje ya miji radio wanazingatia sana. Lakini ndo hivo vipindi vilivotawala ndo hivyo tajwaNina miaka kadhaa sisikilizi radio, kwanza unasikiliza radio ili usikie nini ambacho haujakipata huku mitandaoni?
Huwa navizia vipindi vya mziki tu.
Haya majina mengine hata anaye approve anakuwa hayuko sawaBAO LA ASUBUHI la TBC limenishangaza linavyowaingia watu!
alafu mtangazaji wa Televisheni ya Taifa anamuuliza msikilizaji UNASKILIZIA BAO LA ASUBUHI ukiwa wapi?
Yaani upuuzi tu, na Taifa letu limejaa wajinga ndio maana hakuna cha maana kwenye hizi Radio stations.Ila mijadala ya mpira kwa kweli imezidi mno. Asubuhi saa 3 ukiswitch Radio station, almost kila station inakuwa ianajadili mpira
Nadhani ni mkakati maalumu wa kulifanya Taifa letu liwe la wajinga. Na wamefanikiwa sana. Wananchi wasielimike wawaze michezo tu huku Nchi inauzwa.They're customer oriented wameangalia watanzania wanahitaji nini na radio zimewapatia
Hivyo vipindi vinawalipa that's why Kila radio unaona vinashupalia hizo program
Mpira
Ngono
Umbea
Betting
Wachungaji wa Michongo
Uchawa
Hata vipindi vya Sports ni takataka turedio zote zinamtiririko wa vipindi ambavyo havimake sense except vipindi vya sports and games vipindi vingine ni uozo mtupu
Tena unayapata in real time.... Hata hivyo vipindi vya uchambuzi mpira sina mzuka navyo maana wachambuzi wenyewe hawana jipya, much know kwa sana...Upo kama mm, kwenye Tv na radio nataka muziki tuu mana mengine yote nayapata mtandaoni kwa muda mfupi tuu
Karibuni huku tusikilize Radio Maria!Nimeisoma hii twit yake huko X naona kuna ukweli wa wazi kabisa..
God have mercy on US, tunatengeneza jamii isiyokuwa na fikra chanja na upembuaji wa mambo MTAMBUKA kwa nchi yetu.
Hii hapa twit yake
View: https://x.com/IAMartin_/status/1813497748336898383?t=b2lq6ET75rnkX7FPICy4rw&s=19
-Nini kimekushangaza?
-Nini kimekufurahisha?
-Yapi maoni yako?
Inside10 Misungwi stand, Mwanza
Hongera mkuu! Kuna kipindi gani sasa hivi kama kweli unasikiliza?Umejuaje nipo nasikiliza hapa.
Na kufatilia maisha ya kuna mondi konde zuchu....hahaGen -Z wa Tanzania na kaya zote maskini duniani zina interst/tabia mfanano:
- Ngono.
- Ngono na mke wa mtu.
- Betting.
- Umbea, hasa unaohusu ngono.
- Uchawa[Maskini wote duniani ndio wanatumiwa na matajiri kuingia madarakani]
Na mwalimu wa UPE Mzee wa Kaliua Oscar Oscar. Hiyo itakuwa Radio kweli?Mfano redio ina baba levo, zembwela na wajinga unategemea wanaweza kuzungumzia nzi ana miguu mingapi japo wapo ofisini mwao