Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Tuwekee japo picha-mjongeo kidogo ili tukuamini badala ya kusema ni tetesiInasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
Kwahiyo Polisi kupokea rushwa ni sahihi waachwe?Ushahid ata picha hamkupiga wakati anawapa wajumbe nauli za kurudi makwao?
Ila polisi akipewe 2000 na konda mna rekodi na kusambaza ila wanasiasa ahaa ni maneno tu au sio
Sio waachwe ni kama uonevu ulio egemea upande mmoja why hao mafisadi wanao toa rushwa na watu wana shuhudia lakini hamuweki ushahidi na wao waka chukuliwa hatua?Kwahiyo Polisi kupokea rushwa ni sahihi waachwe?
Mantiki ya kutaja polisi ilikuwa nini? Ungeishia kuomba ushahidi tu.
Maranja Kiboko yake ni Fatma Karume 🐼Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
Hapa huwezi saidika,nenda polisiInasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
Za maria zimeisha au ?Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
Afu iweje🤣Sawa akamatwe apakwe mate
Na nyie gaweni au hamna pesa?Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
Awe mboga ya usikuAfu iweje🤣
kwani huko kwenye vyama PCCB hawapo?au wale wazee wa kamera waliotoa video ya wale traffic wakipokea hongo barabarani...Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
Wewe umeibukia Toka wapi aibu sanaAwe mboga ya usiku
Wajumbe wakule hiyo kodi ya serikaliInasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
Aibu??Wewe umeibukia Toka wapi aibu sana
Haahaa Leo chadema inagawa rushwa hadharani, duh wakati wakishindana na ccm watasemaje kuhusu rushwa? Mbowe atoe tamko kuhusu haya mapesaInasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.