Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Badala ya kutibu symptoms (ugawaji wa rushwa) labda kama taasisi ingeangalia root cause kwanini watu wapo prone kupokea Rushwa, na hili huenda sio CHADEMA pekee bali CCM na Politics worldwide..., Kwahio ndio maana huwa nachelea kusema haya ni maigizo ya Demokrasia (the world over)