Martin Masese awaumbua CCM na CHAUMMA waliodai kuibomoa CHADEMA, takwimu zasema vinginevyo kwa walioondoka

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti kabisa:

Mkutano Mkuu ulikuwa na wajumbe 1,194, waliotoka ni 34 sawa na asilimia 2.84%.
Baraza Kuu lenye wajumbe 456, waliotoka ni 20, sawa na 4.38%.
Kamati Kuu
yenye wajumbe 24, aliyetoka ni 1, sawa na 4.16%.
Sekretarieti
ya wajumbe 13, HAKUNA aliyeondoka – asilimia 0%.

Licha ya kelele za kisiasa na propaganda zinazodai anguko la CHADEMA, hali halisi inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya viongozi wake bado wapo imara ndani ya mfumo wa chama.

Takwimu.PNG
 
🤣🤣🤣🤣
 
Vipi huko kwenye Kanda, mikoa, Wilaya hadi chini?
 
Kuna wapuuzi humu wanaochukizwa na CHADEMA kuliko mauaji yanayofanywa na serikali ya CCM
 
Na sarakasi zote, na kusomba watu kumbe bado takwimu haina ushirikiano na ccm...
 
Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti kabisa:

Mkutano Mkuu ulikuwa na wajumbe 1,194, waliotoka ni 34 sawa na asilimia 2.84%.
Baraza Kuu lenye wajumbe 456, waliotoka ni 20, sawa na 4.38%.
Kamati Kuu
yenye wajumbe 24, aliyetoka ni 1, sawa na 4.16%.
Sekretarieti
ya wajumbe 13, HAKUNA aliyeondoka – asilimia 0%.

Licha ya kelele za kisiasa na propaganda zinazodai anguko la CHADEMA, hali halisi inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya viongozi wake bado wapo imara ndani ya mfumo wa chama.

Licha ya kelele za kisiasa na propaganda zinazodai anguko la CHADEMA, hali halisi inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya viongozi wake bado wapo imara ndani ya mfumo wa chama.👌🏿💪🏿
 
Back
Top Bottom