Pre GE2025 Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!

Pre GE2025 Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Posho za nini kama wanakaa kwenye nyumba za serikali zenye wafanyakazi na walinzi wanaolipwa na serikali na wanatumia magari ya serikali yanayohudumiwa kwa fedha za serikali na ukizingatia wanalipwa na mishahara?
 
Back
Top Bottom