To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Feb 7, 2025 #21 CHIEF PRIEST said: Ndiyo maana Trump ameamua kusitisha huduma kwa shithole countries Click to expand... Maana kajua tunajiweza
CHIEF PRIEST said: Ndiyo maana Trump ameamua kusitisha huduma kwa shithole countries Click to expand... Maana kajua tunajiweza
Mohammed Khatibu JF-Expert Member Joined Jun 28, 2018 Posts 1,170 Reaction score 1,617 Feb 7, 2025 #22 Mbona ndogo
M mhogoz JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 739 Reaction score 1,195 Feb 7, 2025 #23 Then Kuna shule Zina waalimu wanne au watano
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Feb 7, 2025 #24 Waufukweni said: Hizo ni kodi yako pia chief 😀 Click to expand... Ata nikilia haiwezi kutumika vzr
Dede 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 1,182 Reaction score 2,248 Feb 7, 2025 #25 Posho za nini kama wanakaa kwenye nyumba za serikali zenye wafanyakazi na walinzi wanaolipwa na serikali na wanatumia magari ya serikali yanayohudumiwa kwa fedha za serikali na ukizingatia wanalipwa na mishahara?
Posho za nini kama wanakaa kwenye nyumba za serikali zenye wafanyakazi na walinzi wanaolipwa na serikali na wanatumia magari ya serikali yanayohudumiwa kwa fedha za serikali na ukizingatia wanalipwa na mishahara?
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 999 Reaction score 1,898 Feb 7, 2025 #26 Waufukweni said: Siasa ndio inabeba hatma ya maisha ya kila mmoja, hata wewe inabidi upambanie mkuu Click to expand... Kama siasa ya hovyo kama ilivyo demokrasia
Waufukweni said: Siasa ndio inabeba hatma ya maisha ya kila mmoja, hata wewe inabidi upambanie mkuu Click to expand... Kama siasa ya hovyo kama ilivyo demokrasia
State Propaganda JF-Expert Member Joined Apr 25, 2024 Posts 542 Reaction score 1,286 Feb 7, 2025 #27 Duh!, hii ni hatari