TANZIA Martyr Malcolm X's daughter, Malikah Shabazz, was found dead in her Brooklyn home

TANZIA Martyr Malcolm X's daughter, Malikah Shabazz, was found dead in her Brooklyn home

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
8,633
Reaction score
16,586
BREAKING: Martyr Malcolm X's daughter, Malikah Shabazz, was found dead in her Brooklyn home.
Cause of death is unknown

May God bless her soul[emoji257]

20211123_105208.jpg
===

MIDWOOD, Brooklyn (WABC) -- Malikah Shabazz, a daughter of Malcolm X, was found dead in her Brooklyn home Monday, according to police.

Authorities say the 56-year-old Shabazz was found just after 4 p.m. inside of her Midwood home on East 28th Street by her daughter.

The death does not appear suspicious, and Police Commissioner Dermot Shea said she had been ill for some time.

"At this point in time, working with other authorities, the medical examiner, and speaking to the family, she had been ill for a period of time," he told PIX. "And at this point, nothing appears suspicious."

Police are "absolutely not" looking for a suspect, he added.

Family members told first responders that she had possibly experienced food poisoning earlier in the day.

Bernice King, daughter of Martin Luther King Jr., took to Twitter saying, "I'm deeply saddened by the death of Malikah Shabazz."
 
Yaani mtu mpaka UNAKUFA kwenye nyumba upo peke yako?

Familia za kiafrica na kihindi raha sanaa

Familia kubwa ,watu wengi,nyumba inachangamka

Sio jumba kubwa upo peke yako. Mwisho utaishi na majini
 
familia za kiafrica na kihindi Raha Sanaa
Familia kubwa ,watu wengi,nyumba inachangamka .
Hawa ndo wanaongoza kwa kurogana!! ugomvi, wivu, uchawi, visasi, ujinga yaaani wana mambo kwa kweli unabeba watoto wa dadako waje wasomee kwako unawasaidia lkn wanakuona weye mbaya tu!! wanawaonea wivu wanao!

Ukicheza utarogwa weyeuwachukie wanao! Dawa ni kila mutu kwake kwao! Lala njaa utajiju wasaidie hukohuko!
 
Angalia mazingira ya huyo dada alivyokufa

Nazungumzia nyumba kubwa upo peke yako hata mke na watoto huna
 
Angalia mazingira ya huyo dada alivyokufa
Nazungumzia nyumba kubwa upo peke yako hata mke na watoto huna
Halafu wewe Mzee sijui vipi!! Ok! Sasa una watoto kumi na moja kila mmoja yuko kwake! Mme alikufa kitambo! Utawachomoa huko faster waje kukuona unavo kufa ghafla? Mama mwenyewe huyo mtu mzima!

Hata ivo aweza kuwa mgumba! Utalazimisha watoto?
 
Hana ndugu?
 
Hana ndugu?
Weusi wa majuu hawaendekezi njaa za kibongo! ukifikiri jambo lifikirie ki Ulaya zaidi, nikimaanisha liwazie kwa jamii zilizoendelea sasa weye unawaza kibongo ndo tofauti yetu ilipo hapo!

kwanza hao nduguze wana maisha bomba zaidi yake! kuishi hapo ni km adhabu kwao ivi kuna mtu mwenye akili timamu ana tamani adhabu ya kujitakia?
 
Tangu lini mwanaume akawa mrembo?
Heee! Angalia, Urembo ni hali ya kitu kupendeza! hata ivo me hawapendezi? Kisiasa kiuchumi na kitamaduni!

Wewe umeitafsiri kiuzinzi zaidi! kwa maana kuwa u mzinzi! pia uko sawa! Unapajua kwa macheni pale ndo utajua warembo dume wako hao?

Shule za kata ni janga kitaifa nakwambia! bora hata UPE ya kina Waryoba sasa jargon ndogo ivi unakuna kichwa Mzee! Umewahi sikia Black is Mrembo.
 
Weusi wa majuu hawaendekezi njaa za kibongo! ukifikiri jambo lifikirie ki Ulaya zaidi, nikimaanisha liwazie kwa jamii zilizoendelea sasa weye unawaza kibongo ndo tofauti yetu ilipo hapo!

kwanza hao nduguze wana maisha bomba zaidi yake! kuishi hapo ni km adhabu kwao ivi kuna mtu mwenye akili timamu ana tamani adhabu ya kujitakia?
KUISHI na ndugu NI adhabu?
 
KUISHI na ndugu NI adhabu?
Tena kubwa sana!! Mungu aliposema nendeni mkazaane!! mkaijaze nchi alikuwa hata nii!! sasa wewe unawajaza kwako!!! lazima wakuadhibu! wakuroge mpaka ukome! ndo utajua hiyo ni adhabu au siyo adhabu!
 
Tena kubwa sana!! Mungu aliposema nendeni mkazaane!! mkaijaze nchi alikuwa hata nii!! sasa wewe unawajaza kwako!!! lazima wakuadhibu! wakuroge mpaka ukome! ndo utajua hiyo ni adhabu au siyo adhabu!
Unaonekana unatoka kwenye familia ya kimasikini sana
 
Unaonekana unatoka kwenye familia ya kimasikini sana
Tena sisi matajiri ndo kauzu kinoma!! hatutakagi ujinga wa utegemezi km ikitokea najua weye ni mwiba tu!! ukija kifara unapigwa mtaji ukajitegemee!! chunguza matajiri wote wa kichagga, wahaya, Wajita, waruri, wakisii, ndo zao hao!! na maeneo yao yameendelea! ukilinganisha na nyie wamakonde!

hata watoto wao hawakaagi kihasara, ni shule tu na akirudi nyumbani ni majukumu kwa kwenda mbele!! Dukani, banada la kuku, ng'ombe, shambani kusanya baasi! leo hao wanalalia mabox mjini nenda kijijini kwao ni Maghorofa safi!

Maskini ndo wanajazana kwenye vinyumba vya urithi!! sijui kaka meneja baasi hapo hapo!! wanasikiliza muziki weee!, wanakula timing ya kivuri daily!! kikihamia huku na wao huko huko! wanaweka vikao!

kwanza Tajiri kamwe hakai kwa ndugu! ili iweje kwanza! anachakarika 24/7, hata msomi tu!! wa kawaida acha hao wa vyuoni! wana nidhamu ya kujitegemea! wao ni kazi tu! kazi na wewe!!
 
Back
Top Bottom