Tena sisi matajiri ndo kauzu kinoma!! hatutakagi ujinga wa utegemezi km ikitokea najua weye ni mwiba tu!! ukija kifara unapigwa mtaji ukajitegemee!! chunguza matajiri wote wa kichagga, wahaya, Wajita, waruri, wakisii, ndo zao hao!! na maeneo yao yameendelea! ukilinganisha na nyie wamakonde!
hata watoto wao hawakaagi kihasara, ni shule tu na akirudi nyumbani ni majukumu kwa kwenda mbele!! Dukani, banada la kuku, ng'ombe, shambani kusanya baasi! leo hao wanalalia mabox mjini nenda kijijini kwao ni Maghorofa safi!
Maskini ndo wanajazana kwenye vinyumba vya urithi!! sijui kaka meneja baasi hapo hapo!! wanasikiliza muziki weee!, wanakula timing ya kivuri daily!! kikihamia huku na wao huko huko! wanaweka vikao!
kwanza Tajiri kamwe hakai kwa ndugu! ili iweje kwanza! anachakarika 24/7, hata msomi tu!! wa kawaida acha hao wa vyuoni! wana nidhamu ya kujitegemea! wao ni kazi tu! kazi na wewe!!