Marubani wanalazimishwa Kutua Bukoba Airport?

Marubani wanalazimishwa Kutua Bukoba Airport?

Airdomes , Air strips haziwi na tower

Hapo unatumia VFR kutua na kupaa, maana hakuna IFR kama ILS ambazo zinakuwezesha tua hata hali ikiwa mbaya (isiwe upepo tu)
Binafsi nilikuwa najua hiyo Airport ni kubwa kumbe ndio hivyo!!

Kwahiyo ni kama viwanja vya huko kwenye mbuga zo wanyama zinakotua ndege ndogo ndogo.
 
Sasa naskia wanataka proposal ya kujenga uwanja mpya wa ndege kwa serikali ile ile iliyoshindwa kuumaliza uwanja mpya wa ndege ile terminal mpya pale kila siku danadana sijui kwa hii ya bukoba
 
Mamlaka hua zinajiamulia tu bila kufikiri kwa kina...
 
Kumbe yapo mengi yasiyosemwa. Kassim majaliwa mpira umetushwa kwako in ama uupige uingie golini au upaishe. Jioshe hata kwa hili moja tu
Kila kitu majaliwa. Huyo Waziri wa Zanzibar, wa uchukuzi humuoni? Waziri Mkuu na Viwanja vya ndege ana husikaje? Ww binafsi ume panda ndege mara ngapi? Je ndege ndio kipaumbele sana akilini mwako?
 
Back
Top Bottom