Serikali ilisema ripoti ya pili ya ajali ya ndege ya precision Bukoba itatolewa baada ya mwezi 1 kuanzia 16 Nov. 22. Hadi leo mwezi 1 na wiki 3 serikali imekaa kimya.
Tunategemea hiyo ripoti itasema vyanzo vya ajali ikiwemo control tower, taa katika njia ya kutua na kuondoka ndege, na mambo mengine mengi yenye mapungufu uwanja wa Bukoba