Marubani wawili wafariki baada ya ndege ya kugongana na gari

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Ndege ya Shirika la Air Canada imepata ajali baada ya kugongana na gari la Kikosi cha Zimamoto katika Uwanja wa Ndege wa LaGuardia, nchini Marekani, usiku wa kuamkia leo. Ajali hiyo imesababisha vifo vya marubani wote wawili waliokuwa wakiendesha ndege hiyo, huku watu wengine kadhaa wakiripotiwa kujeruhiwa.

1774260195981.png

Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka kwa mamlaka husika, chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika, huku uchunguzi wa kina ukiendelea. Mashuhuda wa tukio hilo wamedai kuwa ndege ilikuwa ikikimbia kwa kasi inayokadiriwa kufikia maili 130 kwa saa kabla ya kugongana na gari la zimamoto. Aidha, kumbukumbu za mawasiliano kati ya marubani na mnara wa kuongozea ndege zinaonesha kuwa gari hilo lilikuwa limepewa ruhusa ya kuvuka barabara ya ndege wakati tukio hilo lilipotokea.

Kufuatia ajali hiyo, shughuli zote za usafiri wa anga katika uwanja huo zimesimamishwa kwa muda ili kupisha operesheni za uokoaji pamoja na uchunguzi. Wakati huo huo, Mamlaka ya Anga ya Marekani (FAA) kwa kushirikiana na Bodi ya Taifa ya Usalama wa Usafiri (NTSB) zimeanza uchunguzi wa kina utakaobaini chanzo halisi cha ajali hiyo.

=====
2 killed, LaGuardia airport closed after Air Canada plane and Port Authority vehicle collide

The Jazz Aviation flight struck a Port Authority vehicle that was responding to a separate incident, authorities said. There were 76 people on board and 41 were injured.

A pilot and co-pilot were killed and more than 40 people injured when an Air Canada passenger plane collided with a fire truck on a LaGuardia Airport runway late Sunday, officials have said.

The plane, a Jazz Aviation flight operating on behalf of Air Canada, struck a Port Authority vehicle that was responding a separate incident around 11:40 p.m., according to the Port Authority of New York and New Jersey.

There were 72 passengers and four crew on board Flight 8646 and Port Authority Executive Director Kathryn Garcia told a news conference early Monday that 41 people were treated for injured in local hospitals, some of them serious. So far 32 have been released from hospitals.

Two other people, a sergeant and an officer, have broken limbs and are in stable condition, according to preliminary information from two sources with knowledge of the investigation. Garcia said the two officers had non-life-threatening injuries.

The sources said the plane was at the end of landing and going about 30 mph when the collision occurred.

The Federal Aviation Administration said the plane was a Bombardier CRJ-900 twin-jet aircraft flown by Air Canada Express, also known as Jazz Aviation, from Montreal.

The accident happened on LaGuardia’s Runway 4, it said. The FAA said it was investigating the crash and the Port Authority Police Department is on the scene as the investigation gets underway.

The National Transportation Safety Board has sent a “go team” to the scene of the collision and will send an investigative team later today.

Video posted on social media a passenger jet on the runway with its cockpit high and the underside of its forward fuselage mangled.

The airport was closed and flights will not take off or land at LaGuardia until 2 p.m. Monday at the earliest, according to the FAA.

NYPD told people to avoid the area surrounding LaGuardia and expect local disruption as all streets and highways exits into the airport are also closed.

The National Transportation Safety Board said it is launching a go team to investigate the collision.
 
"gari hilo lilikuwa limepewa ruhusa ya kuvuka barabara ya ndege wakati tukio hilo lilipotokea." hapo ATC lazima kiwarambe. Uzembe wa hali ya juu umegharimu maisha ya watu.
 
Inasikitisha sana
 
Nadhani hii ni Mpya kabisa katika rekodi sidhani kama ajali ya hivi imewahi kutokea
 
Islamic Wana mioyo migumu sana, ni matukio mengi 1.kukatakata watu mapanga
2.Kutenganisha kichwa na mwili
3.kulipua maeneo yenye mikusanyiko mikubwa ya watu.
Mungu ndvyo anavyotaka? kwa nn wafundishane hvyo? Inasktisha sana.
 
Nadhani hii ni Mpya kabisa katika rekodi sidhani kama ajali ya hivi imewahi kutokea
Imeshatokea ya ndege kwa ndege uwanja wa ndege!Chanzo kilikuwa misunderstanding kati ya tower na Marubani wa ndege Moja!Waliungulia hapo airport mpaka wakaisha,issue ikiwa kufungu mlango!Mtu aliyeenda kutoa msaada alikuwa anazungusha upande huu na walioko ndani wakizungusha upande mwingine,ilikuwa balaa juu ya balaa!
Niliona kwenye Airplane crash investigation!
Nikiipata documentary yake nitakuwekea hapa
 
Back
Top Bottom