Marudio ya mkutano wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi alipozungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri

Marudio ya mkutano wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi alipozungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Usikose kufuatilia marudio ya Mkutano wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katibu Mkuu wa CCM alipozungumza na Wahariri na waandishi wa Habari.

Ratiba yake itakuwa kama ifuatavyo
Screenshot_20240913-192028_2.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
#shemustgo.

NB:
I didn't say who! She can be anyone who does not know her responsibilities
 
Ndugu zangu Watanzania,

Usikose kufuatilia marudio ya Mkutano wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katibu Mkuu wa CCM alipozungumza na Wahariri na waandishi wa Habari.

Ratiba yake itakuwa kama ifuatavyoView attachment 3095169

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hayo marudio ni kwa ajili ya wazee na watu wasiojitambua. Hapo mnarudia hizo hadaa ili kujikosha kuwa ccm haihusiki na huo utekaji ama kuuwawa wapinzani. Ni hivi, ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola ndio wahusika wa huu uchafu wanaofanyiwa wapinzani.
 
Nimemsikiliza nchimbi ametumia busara sana kuongea.ila bado dhamira yake anajua wazi kabisa wanaofanya mauaji na anajua ni genge lilipo ndani ya ccm.yawezekana huo mpango wao walitaka kutumia km mwendazake kutisha taifa lakini imeonekana ni km wanaharibu zaidi.chuki ya watu kwa ccm ndyo inazidi.MPANGO UMEFELI.KAMATENI KWANZA WALE WALIOTAJWA NA YULE KATIBU WA CCM KAGERA POLISI OSTABEY NA CHANGOMBE
 
Hayo marudio ni kwa ajili ya wazee na watu wasiojitambua. Hapo mnarudia hizo hadaa ili kujikosha kuwa ccm haihusiki na huo utekaji ama kuuwawa wapinzani. Ni hivi, ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola ndio wahusika wa huu uchafu wanaofanyiwa wapinzani.
Watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua wanafahamu wazi kuwa CCM haihusiki hata kidogo na inalaani sana matukio yote ya utekwaji na kupotea kwa watu.ndio maana imeiagiza serikali na vyombo vyake kufanya uchunguzi wa kina kukomesha matendo na matukio hayo na kuhakikisha inawatafuta wote waliopotea .kikubwa ni sisi sote kuendelea kutoa ushirikianao kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
 
Leo hujabubujikwa na machozi ya furaha?
Nimefurahishwa sana na umahiri na uhodari wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katika kupangua hoja kimaridadi na kwa ufasaha. Kwa hakika huyu ni Katibu mkuu wa viwango vya kimataifa.
 
Nchimbi is simply a political genius, sijui kwa nini huu ujiniaz anauficha ficha, hebu aumwage hadharani kila mara
Ni mtu makini sana na mwenye weledi wa hali ya juu sana.Ni katibu mkuu wa viwango vya kimataifa
 
Nimefurahishwa sana na umahiri na uhodari wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katika kupangua hoja kimaridadi na kwa ufasaha. Kwa hakika huyu ni Katibu mkuu wa viwango vya kimataifa.
Nilinukuu hapa kwamba; "Mbowe na Mnyika siyo wauaji".
Kwa tafsiri ya haraka ni kwamba CHADEMA ni chama safi na Kwa mantiki hiyo Mr. Nchimbi anawafahamu wauaji na watekaji ambao ni CCM. Ova.
 
Ni mtu makini sana na mwenye weledi wa hali ya juu sana.Ni katibu mkuu wa viwango vya kimataifa
Kabisa, halafu eti Mnyika anataka mdahalo naye, jamani, dunia haiishi maajabu, kama wakala wa chadema, mwandishi wa Jambo Tv katoka amelowana, seuze anayeogopa panya
 
Kabisa, halafu eti Mnyika anataka mdahalo naye, jamani, dunia haiishi maajabu, kama wakala wa chadema, mwandishi wa Jambo Tv katoka amelowana, seuze anayeogopa panya
Amepangua na kujibu maswali yote kwa ufasaha mpaka waandishi wa habari wakabaki wanashangaa tu.
 
Uwezo wa kutafakari na kuhoji uko chini sana kwa watanzania walio wengi. Binafsi sina upande wowote ninaoutetea, bali inanipa ukakasi kwa kiongozi wa chama kuwakingia kifua viongozi wengine.

Hili lilipaswa kuwa jukumu la polisi au tume huru ya uchunguzi. Kwa sasa kila mmoja wao ni 'suspect' wa hayo mauaji na utekaji.
 
Back
Top Bottom