Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Alimsagiaje hao kunguni.As long as alimsagia kunguni Dkt Magufuli akiwa kwenye umauti wake he is a failure!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimsagiaje hao kunguni.As long as alimsagia kunguni Dkt Magufuli akiwa kwenye umauti wake he is a failure!
Ni mjinga kiwango cha zezeta atakayetegemea uchunguzi huru na wa haki.Amepangua na kujibu maswali yote kwa ufasaha mpaka waandishi wa habari wakabaki wanashangaa tu.
Watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua wanafahamu wazi kuwa CCM haihusiki hata kidogo na inalaani sana matukio yote ya utekwaji na kupotea kwa watu.ndio maana imeiagiza serikali na vyombo vyake kufanya uchunguzi wa kina kukomesha matendo na matukio hayo na kuhakikisha inawatafuta wote waliopotea .kikubwa ni sisi sote kuendelea kutoa ushirikianao kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Ni kweli amepangua na kujibu maswali ya hao waandishi wa habari ambao wana hofu ya chama dola, lakini bado kila muandishi katoka hapo moyoni akiwa anajua ccm na serekali yake ni wahusika wa huu utekaji! Hicho kizazi cha kuongepea kiko wapi siki hizi?Amepangua na kujibu maswali yote kwa ufasaha mpaka waandishi wa habari wakabaki wanashangaa tu.