Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Hayo marudio ni kwa ajili ya wazee na watu wasiojitambua. Hapo mnarudia hizo hadaa ili kujikosha kuwa ccm haihusiki na huo utekaji ama kuuwawa wapinzani. Ni hivi, ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola ndio wahusika wa huu uchafu wanaofanyiwa wapinzani.Ndugu zangu Watanzania,
Usikose kufuatilia marudio ya Mkutano wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katibu Mkuu wa CCM alipozungumza na Wahariri na waandishi wa Habari.
Ratiba yake itakuwa kama ifuatavyoView attachment 3095169
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua wanafahamu wazi kuwa CCM haihusiki hata kidogo na inalaani sana matukio yote ya utekwaji na kupotea kwa watu.ndio maana imeiagiza serikali na vyombo vyake kufanya uchunguzi wa kina kukomesha matendo na matukio hayo na kuhakikisha inawatafuta wote waliopotea .kikubwa ni sisi sote kuendelea kutoa ushirikianao kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.Hayo marudio ni kwa ajili ya wazee na watu wasiojitambua. Hapo mnarudia hizo hadaa ili kujikosha kuwa ccm haihusiki na huo utekaji ama kuuwawa wapinzani. Ni hivi, ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola ndio wahusika wa huu uchafu wanaofanyiwa wapinzani.
Nimefurahishwa sana na umahiri na uhodari wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katika kupangua hoja kimaridadi na kwa ufasaha. Kwa hakika huyu ni Katibu mkuu wa viwango vya kimataifa.Leo hujabubujikwa na machozi ya furaha?
Ni mtu makini sana na mwenye weledi wa hali ya juu sana.Ni katibu mkuu wa viwango vya kimataifaNchimbi is simply a political genius, sijui kwa nini huu ujiniaz anauficha ficha, hebu aumwage hadharani kila mara
Labda weweWatu hawakutakeni mnakomalia nn
Naona unaweweseka tu.#shemustgo.
NB: I didn't say who! She can be anyone who does not know her responsibilities
Labda wewe.Naona unaweweseka tu.
Tuendelee kuwa na imani na serikali yetu na aminini ya kuwa serikali ipo kazini muda wote kuimarisha ulinzi na usalama wa Taifa letu.Labda wewe.
Yana muda basi haya mwashambwa!?? Yatapita tu
Nilinukuu hapa kwamba; "Mbowe na Mnyika siyo wauaji".Nimefurahishwa sana na umahiri na uhodari wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katika kupangua hoja kimaridadi na kwa ufasaha. Kwa hakika huyu ni Katibu mkuu wa viwango vya kimataifa.
As long as alimsagia kunguni Dkt Magufuli akiwa kwenye umauti wake he is a failure!Ni mtu makini sana na mwenye weledi wa hali ya juu sana.Ni katibu mkuu wa viwango vya kimataifa
Kabisa, halafu eti Mnyika anataka mdahalo naye, jamani, dunia haiishi maajabu, kama wakala wa chadema, mwandishi wa Jambo Tv katoka amelowana, seuze anayeogopa panyaNi mtu makini sana na mwenye weledi wa hali ya juu sana.Ni katibu mkuu wa viwango vya kimataifa
Amepangua na kujibu maswali yote kwa ufasaha mpaka waandishi wa habari wakabaki wanashangaa tu.Kabisa, halafu eti Mnyika anataka mdahalo naye, jamani, dunia haiishi maajabu, kama wakala wa chadema, mwandishi wa Jambo Tv katoka amelowana, seuze anayeogopa panya