Watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua wanafahamu wazi kuwa CCM haihusiki hata kidogo na inalaani sana matukio yote ya utekwaji na kupotea kwa watu.ndio maana imeiagiza serikali na vyombo vyake kufanya uchunguzi wa kina kukomesha matendo na matukio hayo na kuhakikisha inawatafuta wote waliopotea .kikubwa ni sisi sote kuendelea kutoa ushirikianao kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.