Tetesi: Marufuku Akili kubwa

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
947
Reaction score
685
Kosa moja ambalo lingeweza kupoteza mwelekeo wa mazungumzo yanayoendelea hivi sasa dhidi ya accasia na Tanzania lilikuwa lifanyike, lkn Magufuli kwa kasi ya ajabu akajifuta.

Wazungu pamoja na wote wanaotafuta mahali pa kutokea baada ya kubanwa kwenye mazungumzo walipata bonge la mlango wa kutokea.

Baada ya ripoti ya bunge juu ya madini ya Almasi na Tanzanite kumtaja Bwana Mruma dunia yote sasa ilijua huo ndio mwisho wa kelele za ripoti ile ya Mruma.

Alichofanya Magufuli ni kununua hiyo kesi kama baba kwa maelezo tuu kwamba alimtuma kwenda kufanya umafia huko alikofumaniwa.

Hongera akili kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi watu mnamuwahi sana Joseverest, tujifunze kuheshimu nafasi za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…