Marufuku kufanya mke kama gym!!!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Enyi wana wa adamu
wapi vitabu vya dini vimeandika mke ni hekalu la kufanyia gym
wyawezekana kutokana na laana ama ukoo wenu kuwapiga wake zao
nasema laana inaruhusiwa kuvunjwa mkome nasmea mkome wake
zenu wamezaliwa na mama kama wenu kwa nini hukuanza kumoiga mama yako uanze kupiga mkeo nasema hili life mnaaribu watoto wenu wanajifunza nini.....
Kama ni mapepo na unahisi umerithi nenda sehemu za ibada ukatolewe hayo mapepo
 
Pdidy, vipi umepandisha roho wa kukemea maovu? naona umepandisha hadi sauti. Haya . . Amen!!
 
Mmh ndugu haya yanazidi mapepo
yaani sikuhizi kila ndoa ngumi ngumi mieleka awaendi sijui kwanini??kazi kudunda watoto wa mwanamke mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…