AmenImezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.”
Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b.
Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni kumpa utukufu asiostahili.
Yesu tu ndiye anayestahili kuitwa Mwamba.
Nawasihi kwa heshima zote, tusiguse utukufu wa Yesu.
Nilikuwa na boss wangu wa kike ,siku moja aliniamulia japo nahisi alikuwa kwenye mtanziko wa kifamilia maana alikuwa na hasira sana asubuhi ile basi alinikandamiza mbele ya seniors na majunior wote kwa maneno mengi mno .Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.”
Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b.
Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni kumpa utukufu asiostahili.
Yesu tu ndiye anayestahili kuitwa Mwamba.
Nawasihi kwa heshima zote, tusiguse utukufu wa Yesu.
Ndio, mkuu. Ukweli umeishaujua. Waambie waache mara moja kukuita hivyo. Mwamba ni Yesu tuHivyo natamani unishauri nifanyeje waache mara moja kuniita jina kubwa nisilostahili
Sawa mchungaji wangu ,vipi lakini tunaweza kuowana ?Ndio, mkuu. Ukweli umeishaujua. Waambie waache mara moja kukuita hivyo. Mwamba ni Yesu tu
Zaburi 62:6
Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika.
Soma huu uziUjinga mwingine ni huu Yan Bora ungekaa kukemea hawa wanaojiita manabii na mitume feki wanadanganya watu mchana kweupe
Sina hata biblia mpenzi katika bwana hivi vifungu ni bora uniandikie na maneno yake maana bila hivyo utakuwa unajisumbua mchungaji wangu .Danieli 5:25
MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI😎
Kwa nini unanunua sonona-nene kwa bei rahisi hivyo?Kuna watu wanaitwa Jesus,God,Emmanuel,Raphael na makadhalika mengi tu.Je,unajua maana ya hayo majina kabla ya hilo la Mwamba?Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.”
Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b.
Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni kumpa utukufu asiostahili.
Yesu tu ndiye anayestahili kuitwa Mwamba.
Nawasihi kwa heshima zote, tusiguse utukufu wa Yesu.
Mkuu angalia biblia ukiichunguza sana kuna hekima na maarifa unaweza kuvipoteza katika Jamii inayokuzunguka, wanaume kila tunapokutana haijarishi tunajuana au hatujuani huwa tunapenda kutiana moyo kupitia kuitanana majina ya kishujaa mfano "MAN" " MWAMBA" "BRO" n.k, lakini pia Kuna watu wanaitwa Angel, Godfrey Kwa kifupi God n.k, haimaanishi wakiitwa hivyo wanachukua utukufu wa vitu/viumbe kupitia majina, wanawake huwa wana majina yao "SHOGA YANGU" "SHOST" n.k kulingana na mahali waliookitana na walivyozoeana ujumbe wako unaweza kuwa na mantiki kwa walengwa ila jitahidi kucontrol "Roho mtakatifu" na "mihemko" kila utakapotaka kuwasilisha ujumbe unaomgusa Mwenyezi MunguImezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.”
Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b.
Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni kumpa utukufu asiostahili.
Yesu tu ndiye anayestahili kuitwa Mwamba.
Nawasihi kwa heshima zote, tusiguse utukufu wa Yesu.
secretarybird ni mwamba kweli kweli.Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.”