Tetesi: Marufuku mtumishi wa umma Chato kutumia simu ukiwa kazini

Tetesi: Marufuku mtumishi wa umma Chato kutumia simu ukiwa kazini

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
Nasikia watumishi wa umma wilayani Chato wamekatazwa kutumia simu wakiwa kazini.

Utaruhusiwa kutumia simu tu baada ya saa 9:30 alasiri muda wa kutoka ofisini.

Marufuku hiyo nasikia imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Chato.

Kama kuna mtumushi wa Chato humu atusaidie kutupa ukweli wa tetesi hiyo.
 
Dah na olewako mtumishi nikukute bar mchana hata weekend uta fyekela mbali na bado mtapata tabu sana hata ukiwa na kimada
 
Nishasema,kama itathibitika kuwa ni kweli,mh.rais inabidi aongee na wateule wake ili kuepuka matamko ya kimhemko.
 
Nasikia watumishi wa umma wilayani Chato wamekatazwa kutumia simu wakiwa kazini.

Utaruhusiwa kutumia simu tu baada ya saa 9:30 alasiri muda wa kutoka ofisini.

Marufuku hiyo nasikia imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Chato.

Kama kuna mtumushi wa Chato humu atusaidie kutupa ukweli wa tetesi hiyo.
Kivipi mkuu?
 
Hata Ukiingia Ikulu unaacha simu Getini pale Mkono wa kulia
Hata Ukiingia Kwa Majaliwa unaacha simu Getini
 
mtoto akiugua ghafla home napataje taarifa?? na yeye DED hatatuma hadi saa 9.30 na je akinuhitaji na nimetoka kidogo (kikazi) ananipataje???
 
WENGINE KAZI ZETU NI FREE LANCER NTAAGA MARA NGAPI??? NA DHARURA ZA NYUMBANI JE
kwa dharura za nyumbani ni baada ya masaa ya kazi! na kwa habari ya kuwa free lancer then utakuwa nje ya ofisi na simu yako full stop! Hata hivyo ni kazi gani hiyo ndani ya halmashauri yenye kupa huo ufree ndugu?
 
Back
Top Bottom