Si ajabu kumkuta aliyetoa tamko hilo ni wa kwanza kulikiuka,utamkuta nae anatumia simu kabla ya SAA Tisa alasiri.Inatakiwa awe mfano simu anaacha nyumbani.
Nasikia watumishi wa umma wilayani Chato wamekatazwa kutumia simu wakiwa kazini.
Utaruhusiwa kutumia simu tu baada ya saa 9:30 alasiri muda wa kutoka ofisini.
Marufuku hiyo nasikia imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Chato.
Kama kuna mtumushi wa Chato humu atusaidie kutupa ukweli wa tetesi hiyo.