Itakuwa ni utani tu, si unajua Serikali hii ya awamu ya tano inapenda utani sana
Kivipi mkuu?Nasikia watumishi wa umma wilayani Chato wamekatazwa kutumia simu wakiwa kazini.
Utaruhusiwa kutumia simu tu baada ya saa 9:30 alasiri muda wa kutoka ofisini.
Marufuku hiyo nasikia imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Chato.
Kama kuna mtumushi wa Chato humu atusaidie kutupa ukweli wa tetesi hiyo.
kwa vile utakuwa umeaga atajua pakukupata!mtoto akiugua ghafla home napataje taarifa?? na yeye DED hatatuma hadi saa 9.30 na je akinuhitaji na nimetoka kidogo (kikazi) ananipataje???
WENGINE KAZI ZETU NI FREE LANCER NTAAGA MARA NGAPI??? NA DHARURA ZA NYUMBANI JEkwa vile utakuwa umeaga atajua pakukupata!
kwa dharura za nyumbani ni baada ya masaa ya kazi! na kwa habari ya kuwa free lancer then utakuwa nje ya ofisi na simu yako full stop! Hata hivyo ni kazi gani hiyo ndani ya halmashauri yenye kupa huo ufree ndugu?WENGINE KAZI ZETU NI FREE LANCER NTAAGA MARA NGAPI??? NA DHARURA ZA NYUMBANI JE