Tetesi: Marufuku mtumishi wa umma Chato kutumia simu ukiwa kazini

Si ajabu kumkuta aliyetoa tamko hilo ni wa kwanza kulikiuka,utamkuta nae anatumia simu kabla ya SAA Tisa alasiri.Inatakiwa awe mfano simu anaacha nyumbani.
 
Hilo zoezi ni gumu sana kwa ulimwengu wa sawa,sawa na kuishi bila MAJI.
 
Si ajabu kumkuta aliyetoa tamko hilo ni wa kwanza kulikiuka,utamkuta nae anatumia simu kabla ya SAA Tisa alasiri.Inatakiwa awe mfano simu anaacha nyumbani.
Tatizo wanaongea kwanza alafu akili inakuja nyuma, kuja kustuka anaanza kujikana
 
Sijaelewa
Ulimwengu huu Uzuie simu
Sijui!!!
Kitu cha kawaida sana huku ughaibuni, wakati wa kazi marufuku kutumia simu..hamna la ajabu hapo sema bongo watu wanaover use simu hadi teller wa bank anatumia simu kazini kweli??? Hio sheria ya kuzuia simu mahala pa kazi ipo sana tu kwa nchi nyingi sio bongo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…