Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
M
imi sitaki kabisa sikiakabisa, tutaanza kuwa saresare kama wanafunzi😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imi sitaki kabisa sikiakabisa, tutaanza kuwa saresare kama wanafunzi😂😂😂
Wamepiga hesabu ya ajira zitakazopotea? Wamejipangaje kuanzisha ajira nyingine kwa wale watakaopoteza ajira?Asilimia tisini kama si zaidi ya Watanzania tunapiga mitumba, ndio tunayoweza kumudu. Hatuna viwanda vinavyojitolesha kwenye sekta hii kiasi cha kuzalisha nguo zenye ubora na gharama nafuu kwa wengi kumudu.
Mitumba imekuwa chagua la wengi kutokana na kwamba unapata bidhaa nzuri kwa bei nafuu. Yaani ukichukua nguo mpya uliyonunua elfu 50, mtumba wa elf 10 - 20 unakuwa bora zaidi ya mpya. Walau marufuku ingekuja tukiwa tunataka kuinua viwanda vya ndani, lakini viwanda 0, hii karata Tanzania tuko tayari kuicheza kweli?
Wakuu, Tanzania ikienda na katazo hili wenzangu na mimi tutatoboa kweli? Au tutakuwa tunanunua nguo moja kwa mwaka?😂😅😅
View attachment 2645855
Unapo mwambia mwanao acha umalaya unawajibika umpe kazi ya kufanya!Asilimia tisini kama si zaidi ya Watanzania tunapiga mitumba, ndio tunayoweza kumudu. Hatuna viwanda vinavyojitolesha kwenye sekta hii kiasi cha kuzalisha nguo zenye ubora na gharama nafuu kwa wengi kumudu.
Mitumba imekuwa chagua la wengi kutokana na kwamba unapata bidhaa nzuri kwa bei nafuu. Yaani ukichukua nguo mpya uliyonunua elfu 50, mtumba wa elf 10 - 20 unakuwa bora zaidi ya mpya. Walau marufuku ingekuja tukiwa tunataka kuinua viwanda vya ndani, lakini viwanda 0, hii karata Tanzania tuko tayari kuicheza kweli?
Wakuu, Tanzania ikienda na katazo hili wenzangu na mimi tutatoboa kweli? Au tutakuwa tunanunua nguo moja kwa mwaka?[emoji23][emoji28][emoji28]
View attachment 2645855
Wamtafute mbunge waliyempigia Kura 2020Balaa, hali za watu wengi kumudu nguo special bado sana
Ni balaaUnapo mwambia mwanao acha umalaya unawajibika umpe kazi ya kufanya!
Jee sababu ya Ujio wa mitumba Imeisha Lini?
Msituongezee maumivu! Kwa sasa tuna shida ya mkaa na bei ya Gesi haikamatiki Huku uswazi[emoji56][emoji24][emoji24]
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂ajibu hiki kivumbi au vipi?Wamtafute mbunge waliyempigia Kura 2020
Hata watalii wakija huku huwa wanazinunua pia [emoji23][emoji23][emoji23]Kusema kweli mitumba ya nguo toka huko inakotoka ndizo nguo imara na ngumu kuvumilia mazingira magumu. Wale wamevaa mara moja au mbili wakavua nguo ikiwa bado mpya na haijachakaa kiasi cha kutovalika tena. Ikiletwa huku ni mpya na ni unique. Bei zake ni rahisi unaweza kujaza gunia kwa kuwa na nguo nyingi za kubadilisha. Shangaa jeans mzungu kavaa wee likiletwa huku ni jipya na linaendelea kuvalika. Sasa wakipiga marufuku kuingia nguo hizo wanataka tuvae malapulapu ya vitambaa vyetu vinavyopauka asubuhi tu
Hapo sasa halafu wanataka kukataza hata kwa wenye kipato cha chini wakati plan B hakunaHata watalii wakija huku huwa wanazinunua pia [emoji23][emoji23][emoji23]
kumbuka ili iwe mtumba ni lazima ianze kuwa mpya kwanza, so hakuna namna mtumba unaweza kuwa bora kuliko mpya kwa same brand.Asilimia tisini kama si zaidi ya Watanzania tunapiga mitumba, ndio tunayoweza kumudu. Hatuna viwanda vinavyojitolesha kwenye sekta hii kiasi cha kuzalisha nguo zenye ubora na gharama nafuu kwa wengi kumudu.
Mitumba imekuwa chagua la wengi kutokana na kwamba unapata bidhaa nzuri kwa bei nafuu. Yaani ukichukua nguo mpya uliyonunua elfu 50, mtumba wa elf 10 - 20 unakuwa bora zaidi ya mpya. Walau marufuku ingekuja tukiwa tunataka kuinua viwanda vya ndani, lakini viwanda 0, hii karata Tanzania tuko tayari kuicheza kweli?
Wakuu, Tanzania ikienda na katazo hili wenzangu na mimi tutatoboa kweli? Au tutakuwa tunanunua nguo moja kwa mwaka?[emoji23][emoji28][emoji28]
View attachment 2645855
Kuna vitu vya mitumba vikali Sana hasa viatuUtasikia Mtumba mkali sijui ndio mgumu kuliko ya dukani,yaani kitu used kiwe kigumu kuliko kipya?
Kila kitu cha mtumba ni bora kuliko cha dukani cha bei hiyo hiyoKuna vitu vya mitumba vikali Sana hasa viatu
Waafrika mmeoza vichwa kiasi kwamba mnashindwa kuona tatizo linalowakwamisha kupiga hatua. Chanzo cha kukosa viwanda ni kuwepo kwa hiyo mitumba. Wazalishe wamuuzie nani? Soko linakuwa hamna. Serikali za Afrika zote zikipiga marufuku mitumba ndani ya miaka mitano Afrika inakuwa mbali kwenye textile industry. Viwanda vitaongezeka na uzalishaji utaongezeka watafikia hatua ya kushindania soko kwa kushusha bei wenyewe. Ajira zitapatikana kwa wingi viwandani, malighafi kama pamba, n.k vitapata soko la uhakika hapa hapa sio mpaka kusafirishwa nje na hata hizo malighafi za bei chee wanazotumia wachina na wazungu zitaletwa hapa na zitatumika tu maana mfanyabiashara anahitaji kupunguza gharama za uzalishaji na ku maximize faida.Asilimia tisini kama si zaidi ya Watanzania tunapiga mitumba, ndio tunayoweza kumudu. Hatuna viwanda vinavyojitolesha kwenye sekta hii kiasi cha kuzalisha nguo zenye ubora na gharama nafuu kwa wengi kumudu.
Mitumba imekuwa chagua la wengi kutokana na kwamba unapata bidhaa nzuri kwa bei nafuu. Yaani ukichukua nguo mpya uliyonunua elfu 50, mtumba wa elf 10 - 20 unakuwa bora zaidi ya mpya. Walau marufuku ingekuja tukiwa tunataka kuinua viwanda vya ndani, lakini viwanda 0, hii karata Tanzania tuko tayari kuicheza kweli?
Wakuu, Tanzania ikienda na katazo hili wenzangu na mimi tutatoboa kweli? Au tutakuwa tunanunua nguo moja kwa mwaka?[emoji23][emoji28][emoji28]
View attachment 2645855
Sawa!!!lakini huo mmbadala wa hivyo viwanda vya kutengeneza vya kwetu vipo tayari au ni makatazo alafu ndio shughuli ya kujenga viwanda ndio ianze!!Waafrika mmeoza vichwa kiasi kwamba mnashindwa kuona tatizo linalowakwamisha kupiga hatua. Chanzo cha kukosa viwanda ni kuwepo kwa hiyo mitumba. Wazalishe wamuuzie nani? Soko linakuwa hamna. Serikali za Afrika zote zikipiga marufuku mitumba ndani ya miaka mitano Afrika inakuwa mbali kwenye textile industry. Viwanda vitaongezeka na uzalishaji utaongezeka watafikia hatua ya kushindania soko kwa kushusha bei wenyewe. Ajira zitapatikana kwa wingi viwandani, malighafi kama pamba, n.k vitapata soko la uhakika hapa hapa sio mpaka kusafirishwa nje na hata hizo malighafi za bei chee wanazotumia wachina na wazungu zitaletwa hapa na zitatumika tu maana mfanyabiashara anahitaji kupunguza gharama za uzalishaji na ku maximize faida.
Adui mkubwa wa maendeleo ya mwafrika ni utegemezi tunaozoeleshwa na wazungu. Na ndio maana kila tukitaka kujitoa kwenye kuwategemea wanaleta vikwazo vingi sana ili mradi tubaki tunawategemea. Mfano hilo la kupiga marufuku mitumba litapingwa sana na mabeberu na vibaraka wao hapa Afrika na najua hakitafanikiwa.