Maruhani au majini wanatoaje kw mwili mwa mtu?

Sawa.

Umesema unaamini Jini anaweza kaa ndani ya mtu.

Je ushawahi kumwona mtu mwenye Jini ndani yake ?

Mtu huyo anatofauti gani na mtu ambaye hana Jini ndani yake ?
Umeniuliza maswali nimekujibu sasa ingekuwa vizuri nawe ungenijibu maswali yangu kisha nami nitajibu yako.
 
rafiki yangu ukiwa nashida bhana unaweza kukufuru hata muumba wako, waganga, sijui kina nani saa nyingine huwa wanacheza tricks na hao majini ili watoke kwenye mwili wa mwanadam ila kuna kisomo kinaitwa rukiya kitakusaidia tafuta watu wanajua watakusaidia kwa uwezo wa Mungu na baraka zake atapona tu.
 
Umeniuliza maswali nimekujibu sasa ingekuwa vizuri nawe ungenijibu maswali yangu kisha nami nitajibu yako.
Asante, sasa nakujibu.

Kwanza ujue Jini au Ruhani hayaonekani kwa macho, kwakuwa ni roho.
Pia ujue hakuna Jini au Ruhani ambalo likimwingia mtu litamnufaisha, yote yana nia mbaya ya kumharibu Binadamu.
Namaanisha hakuna Jini jema kwenye uhusiano na Mwanadamu.
Mtu mwenye Majini utamtambua kwa mabadiliko katika hali yake tu, na kama Jini likimtoka basi binadamu huyo hurudi ktk hali yake ya kawaida.
Hali gani hizo ?

1. Tabia- Jini lina mfanya mtu awe na tabia zisizorekebishika kama, wizi, kujichua, utapeli, uzinzi, ulevi, ugomvi, nk. Vilivyopitiliza.

2. Magonjwa- Jini linasababisha magonjwa ambayo hayaonekani kwemye vipimo vya kisayansi. Unakuta mtu anadhohofika tu hata akila chakula bora na Dactari haoni ugonjwa wowote.
Vichaa wengi wanakaliwa na Majini. Ugonjwa wa kifafa mara nyingi unasababishwa na Majini.

3.Vifo- Jini linasababisha vifo kwa aliyenalo. Vifo vya ajali, kuanguka ghafla, kufa usingizini, unaweza kukuta familia moja inafiwa na watu kumi ndani ya mwaka mmoja au miwili, Vifo vya korogwa kama kwa Tego, au Kisomo, au Ndumba. Kumbuka mtu akikuroga kwa mgangamchawi analituma Jini lije kukutoa roho yako.

Hizi dalili tatu mojawapo zinazomtokea Binadamu mwenye Jini.

Hakuna namna ya kulitoa Jini zaidi ya kwenda kwa watumishi wa Mungu ambao ni waadilifu ili wakombee kwa Mungu ili Jini limtoke Binadamu.
Nimesema Watumishi wa Mungu waadilifu.

Mchawi au Mganga wa kienyeji katu hawezi kulitoa Jini.
Sababu moja ni kuwa kwanza hawezi kuliona, likitulia kimywa atakuambia limetoka, na linaweza kutulia hata miaka miwili au mitano.
Uli kujua kuwa Jini limemtoka mtu basi utaona zile dalili za mtu mwenye Jini zinaondoka kabisa kwa Binadamu huyo na kupotea.
Kama alikuwa mlevi kupindukia anarudi kuwa sio mlevi tena. nk.
Wazazi wengi hawaelewi kuhusu tabia za ajabu za vijana wao na kuanza kuwaadhibu hadi kukata tamaa, kumbe sababu ni kuwa vijana wao wameingiliwa na Majini ambayo yanamfanya Kijana ashindwe kuacha tabia zake mbaya.
Kwaleo naona niishie hapa kama unaswali lingine niulize tu, ila iwe kwa kutaka kuelewa na sio kubishana.

Zaidi ukitaka kuthibitisha hayo niliyokuambia, weka bando la kutosha katika simu yako, ukishapata mtandao wa 4G bofya ktk internet, tafuta sehemu ya Youtube video halafu andika neno

" Scoan Spirit Deriverence"

Utaona video za baadhi ya mambo niliyokueleza.
Asante sana,
kwa kunivumilia.
 
umeongea vizuri, ila kuna mambo sikubaliani na wewe.

majini-ruhani wanatofautiana uwezo kama sisi binadamu hivyo kuna waganga (wa kweli) wasio na ushirika na wachawi wanaweza yaondoa majini.
 
Mimi nijuzwe tofauti ya mahurani na majini..!
Hao wote ni Pepo wachafu ambao wapo katika milki ya Shetani Lusifer.
Ila wanatofautiana kwa kuwa katika jamii mbalimbali.
Kuna Majini, Mizimu, Maruhani, Vibwengo, Vinyamkera, Vindondocha, Misukule, nk.
Hiyo midudu yote inatumikishwa na Shetani kwenye kazi zake za kumharibu mwanadamu na Kumkufuru Mungu.
 
Asante, sasa nakujibu.

Kwanza ujue Jini au Ruhani hayaonekani kwa macho, kwakuwa ni roho.
Pia ujue hakuna Jini au Ruhani ambalo likimwingia mtu litamnufaisha, yote yana nia mbaya ya kumharibu Binadamu.
Namaanisha hakuna Jini jema kwenye uhusiano na Mwanadamu.
Mtu mwenye Majini utamtambua kwa mabadiliko katika hali yake tu, na kama Jini likimtoka basi binadamu huyo hurudi ktk hali yake ya kawaida.
Hali gani hizo ?

1. Tabia- Jini lina mfanya mtu awe na tabia zisizorekebishika kama, wizi, kujichua, utapeli, uzinzi, ulevi, ugomvi, nk. Vilivyopitiliza.

2. Magonjwa- Jini linasababisha magonjwa ambayo hayaonekani kwemye vipimo vya kisayansi. Unakuta mtu anadhohofika tu hata akila chakula bora na Dactari haoni ugonjwa wowote.
Vichaa wengi wanakaliwa na Majini. Ugonjwa wa kifafa mara nyingi unasababishwa na Majini.

3.Vifo- Jini linasababisha vifo kwa aliyenalo. Vifo vya ajali, kuanguka ghafla, kufa usingizini, unaweza kukuta familia moja inafiwa na watu kumi ndani ya mwaka mmoja au miwili, Vifo vya korogwa kama kwa Tego, au Kisomo, au Ndumba. Kumbuka mtu akikuroga kwa mgangamchawi analituma Jini lije kukutoa roho yako.

Hizi dalili tatu mojawapo zinazomtokea Binadamu mwenye Jini.

Hakuna namna ya kulitoa Jini zaidi ya kwenda kwa watumishi wa Mungu ambao ni waadilifu ili wakombee kwa Mungu ili Jini limtoke Binadamu.
Nimesema Watumishi wa Mungu waadilifu.

Mchawi au Mganga wa kienyeji katu hawezi kulitoa Jini.
Sababu moja ni kuwa kwanza hawezi kuliona, likitulia kimywa atakuambia limetoka, na linaweza kutulia hata miaka miwili au mitano.
Uli kujua kuwa Jini limemtoka mtu basi utaona zile dalili za mtu mwenye Jini zinaondoka kabisa kwa Binadamu huyo na kupotea.
Kama alikuwa mlevi kupindukia anarudi kuwa sio mlevi tena. nk.
Wazazi wengi hawaelewi kuhusu tabia za ajabu za vijana wao na kuanza kuwaadhibu hadi kukata tamaa, kumbe sababu ni kuwa vijana wao wameingiliwa na Majini ambayo yanamfanya Kijana ashindwe kuacha tabia zake mbaya.
Kwaleo naona niishie hapa kama unaswali lingine niulize tu, ila iwe kwa kutaka kuelewa na sio kubishana.

Zaidi ukitaka kuthibitisha hayo niliyokuambia, weka bando la kutosha katika simu yako, ukishapata mtandao wa 4G bofya ktk internet, tafuta sehemu ya Youtube video halafu andika neno

" Scoan Spirit Deriverence"

Utaona video za baadhi ya mambo niliyokueleza.
Asante sana,
kwa kunivumilia.
Ok mkuu kabla hata ya kwenda kuangali hiyo video nimeona bora niishie tu hapa huu mjadala maana maelezo yako yamechanganya mambo mengi,umechanganya matatizo ya uchawi na matatizo ya kuingiwa na jini tu.

Uelewa wetu kuhusu majini unatofautiana sana.
 
Mwambie aje WRm kivule matembele ya pili
 
Ok mkuu kabla hata ya kwenda kuangali hiyo video nimeona bora niishie tu hapa huu mjadala maana maelezo yako yamechanganya mambo mengi,umechanganya matatizo ya uchawi na matatizo ya kuingiwa na jini tu.

Uelewa wetu kuhusu majini unatofautiana sana.
Point kubwa mkuu ni kuwa,huyo mtu awe na maruhani,majini,ameriogwa na wachawi...au lucifer mwenyewe. ...dawa ni moja tu...YESU KRISTO ndo hiyo dawa yenyewe mkuu.
 
umeongea vizuri, ila kuna mambo sikubaliani na wewe.

majini-ruhani wanatofautiana uwezo kama sisi binadamu hivyo kuna waganga (wa kweli) wasio na ushirika na wachawi wanaweza yaondoa majini.
Nakanusha.
Kwanza lazima ujue, Majini, Maruhani yapo katika Ulimwengu wa Roho.
Ulimwengu wa Roho umegawanyika katika Falme mbili.
Ufalme wa Mbingu kwenye NURU ukiongozwa na Mungu, na Ufalme wa KUZIMU kwenye GIZA ukiongizwa na Shetani.
Falme hizi ndizo zinazoweza kushindana, kupigana vita na Falme moja kuishinda Falme nyingine.
Toka mwanzo Ufalme wa Mbingu una nguvu kuliko ufalme wa Kuzimu.

Ufalme wa Dunia hauna nguvu kwanye hizo falme mbili.

Ndio maana binadamu alipoumbwa, Mungu alimwamuru, atawale vilivyomo ndani ya nchi anavyoviona tu.

" Na tumfanye mtu kwa mfano wetu,...wakatawale...nchi yote pia" Mwanzo 1: 26-28.

Sasa mamlaka ya kutawala Ulimwengu wa Roho Binadamu alipewa na nani hadi aweze kulilazimisha Jini limtoke mtu ?

Ili aweze kutawala Ulimwengu wa Roho, ni lazima Binadamu aombe nguvu toka ama Ufalme wa Mungu au Ufalme wa Shetani.

Na Binadamu akiomba nguvu toka ufalme wa Shetani ili auharibu ufalme wa Shetani katu hawezi kupewa.
Mara nyingi Binadamu anaomba nguvu ufalme wa Shetani ili amharibu Binadamu kwani ndiye dhaifu kwake, ndo maana Binadamu anarogeka.

Ili kuuharibu Ufalme wa Shetani ni lazima Binadamu aombe nguvu toka Ufalme wa Mbingu kwani una nguvu kuliko Kuzimu.

Msidanganyike wandugu Mganga wa kienyeji huyo Binadamu kama wewe KATU hawezi kutoa Jini.
Jini linatolewa na Mungu pekee.
Na ametupa jina la Yesu Kristo wa Nazareti ili litumike kuondoa nuksi zote pamoja na Mapepo wachafu.

Nawasilisha.

Ili kuliondoa Pepo na liweze kukutiii ninlazima uombe nguvu toka katika ufalme wa Mbingu.

We jiulize tu Jini linaweza kukaa mdani ya Binanamu na kumtawala.

Ivi kwa nini Binadamu anashindwa kukaa ndani ya Jini na kulitawala ?
Wewe unaweza kukaa ndani ya Jini ?
Kama Binadamu anashindwa kukaa ndani ya Jini, atawezaje kwa kutumia nguvu zake binafsi kuliamrisha Jini litoke ndani ya Binadamu ?
Hao waganga wa kienyeji wanao sema wanauwezo wa kuliondoa Jina nao pia wanakaliwa na Majini, ndio maana unawaona mganga anajifanya anaondoa majini lakini hali yake ni maskini wa
kutupwa.
Eti utaskia Mganga anatumia Mizimu kuondoa majini. Yaani Dada amfukuze Shemeji.
Jini katu haliwezi kuliondoa Jini Mwenzake maana wapo Ufalme mmoja wa uhalibifu hawawezi kugombana, wala kuangushana.
Pale mgonjwa unazugwa tu ili utoe pesa yako na zaidi unaongezewa Majini mengine ili yapate pakukaa.
Kumbuka Baharini kuna baridi sana, Majini yanapenda sana kukaa ndani ya mtu ndio makazi Bora Zaidi kwao, na hayaondoki kirahisi hadi watolewe kwa nguvubna nguvu ya Mungu pekee.
Kamwe Jini halitoki kwa Muarubaini.
 
Point kubwa mkuu ni kuwa,huyo mtu awe na maruhani,majini,ameriogwa na wachawi...au lucifer mwenyewe. ...dawa ni moja tu...YESU KRISTO ndo hiyo dawa yenyewe mkuu.
Sawa mkuu hiyo ni imani yako na mie sina tatizo na unavyoamini.
 
Ok mkuu kabla hata ya kwenda kuangali hiyo video nimeona bora niishie tu hapa huu mjadala maana maelezo yako yamechanganya mambo mengi,umechanganya matatizo ya uchawi na matatizo ya kuingiwa na jini tu.

Uelewa wetu kuhusu majini unatofautiana sana.
Sawa nieleze na wewe unavyoelewa kuhusu Majini na Maluhani ili na mimi nijifunze.
Kumbuka hapa tunajaribu kubadilishana mawazo na ujuzi ambao kina mtu ameupata.
 
Nakanusha.
Kwanza lazima ujue, Majini, Maruhani yapo katika Ulimwengu wa Roho.
Ulimwengu wa Roho umegawanyika katika Falme mbili.
Ufalme wa Mbingu kwenye NURU ukiongozwa na Mungu, na Ufalme wa KUZIMU kwenye GIZA ukiongizwa na Shetani.
Falme hizi ndizo zinazoweza kushindana, kupigana vita na Falme moja kuishinda Falme nyingine.
Toka mwanzo Ufalme wa Mbingu una nguvu kuliko ufalme wa Kuzimu.

Ufalme wa Dunia hauna nguvu kwanye hizo falme mbili.

Ndio maana binadamu alipoumbwa, Mungu alimwamuru, atawale vilivyomo ndani ya nchi anavyoviona tu.

" Na tumfanye mtu kwa mfano wetu,...wakatawale...nchi yote pia" Mwanzo 1: 26-28.

Sasa mamlaka ya kutawala Ulimwengu wa Roho Binadamu alipewa na nani hadi aweze kulilazimisha Jini limtoke mtu ?

Ili aweze kutawala Ulimwengu wa Roho, ni lazima Binadamu aombe nguvu toka ama Ufalme wa Mungu au Ufalme wa Shetani.

Na Binadamu akiomba nguvu toka ufalme wa Shetani ili auharibu ufalme wa Shetani katu hawezi kupewa.
Mara nyingi Binadamu anaomba nguvu ufalme wa Shetani ili amharibu Binadamu kwani ndiye dhaifu kwake, ndo maana Binadamu anarogeka.

Ili kuuharibu Ufalme wa Shetani ni lazima Binadamu aombe nguvu toka Ufalme wa Mbingu kwani una nguvu kuliko Kuzimu.

Msidanganyike wandugu Mganga wa kienyeji huyo Binadamu kama wewe KATU hawezi kutoa Jini.
Jini linatolewa na Mungu pekee.
Na ametupa jina la Yesu Kristo wa Nazareti ili litumike kuondoa nuksi zote pamoja na Mapepo wachafu.

Nawasilisha.

Ili kuliondoa Pepo na liweze kukutiii ninlazima uombe nguvu toka katika ufalme wa Mbingu.

We jiulize tu Jini linaweza kukaa mdani ya Binanamu na kumtawala.

Ivi kwa nini Binadamu anashindwa kukaa ndani ya Jini na kulitawala ?
Wewe unaweza kukaa ndani ya Jini ?
Kama Binadamu anashindwa kukaa ndani ya Jini, atawezaje kwa kutumia nguvu zake binafsi kuliamrisha Jini litoke ndani ya Binadamu ?
Hao waganga wa kienyeji wanao sema wanauwezo wa kuliondoa Jina nao pia wanakaliwa na Majini, ndio maana unawaona mganga anajifanya anaondoa majini lakini hali yake ni maskini wa
kutupwa.
Eti utaskia Mganga anatumia Mizimu kuondoa majini. Yaani Dada amfukuze Shemeji.
Jini katu haliwezi kuliondoa Jini Mwenzake maana wapo Ufalme mmoja wa uhalibifu hawawezi kugombana, wala kuangushana.
Pale mgonjwa unazugwa tu ili utoe pesa yako na zaidi unaongezewa Majini mengine ili yapate pakukaa.
Kumbuka Baharini kuna baridi sana, Majini yanapenda sana kukaa ndani ya mtu ndio makazi Bora Zaidi kwao, na hayaondoki kirahisi hadi watolewe kwa nguvubna nguvu ya Mungu pekee.
Kamwe Jini halitoki kwa Muarubaini.
Great job.
Unaonesha hata kichwani uko vizuri.
 
Sawa mkuu hiyo ni imani yako na mie sina tatizo na unavyoamini.
Sikulazimishi uamini ninacho amini,ila jaribu hata siku moja kutembelea kwenye maombi,sidhani kama ni dhambi kwa upande wako...amini utashuhudia ambayo hukutegemea.
 
Sawa nieleze na wewe unavyoelewa kuhusu Majini na Maluhani ili na mimi nijifunze.
Kumbuka hapa tunajaribu kubadilishana mawazo na ujuzi ambao kina mtu ameupata.
Kwanza mkuu ukiachana na video za Youtube,ushawahi kushuhudia tukio la mtu aliyepandwa na jini?
 
Sikulazimishi uamini ninacho amini,ila jaribu hata siku moja kutembelea kwenye maombi,sidhani kama ni dhambi kwa upande wako...amini utashuhudia ambayo hukutegemea.
Ndiyo maana nikasema sina tatizo na unacho amini wewe,ila kiuhalisia ni ngumu kuniambia kwamba tiba ya matatizo ya uchawi na majini hupatatikana kupitia imani moja tu ya Yesu.

Hao wengine matatizo yao huyamaliza vp na hawajawahi kwenda huko kwenye maombi? hebu tuyalete mambo kwenye uhalisia.
 
Back
Top Bottom