Marumo Gallants (Bahlabani ba Ntwa) fans tukutane hapa

Marumo Gallants (Bahlabani ba Ntwa) fans tukutane hapa

BAHLABANE BA NTWA

wapenda kandanda nchini Afrika Kusini fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.

Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.

Mimi kama shabiki nguli wa MARUMO gallants nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae

BAHLABANE BA NTWA
MARUMO 4
UTO 0
 
Bahlabani ba Ntwa ba Utopolo [emoji196][emoji196][emoji196]

Utopolo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Mmeingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mabingwa watarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF Marumo Gallants tunaenda kuwaangamiza hawa Utopolo /Gongowazi/Misukule/Kinyumenyume bao za kutosha.

Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.

View attachment 2605927
View attachment 2605928
View attachment 2605929

NB: Jezi za timu yetu pendwa Marumo Gallants zinanunuliwa kwa wingi, siyo shabiki wa Simba wala Azam wala Yanga wanazigombania jezi zetu za Marumo [emoji572]️[emoji572]️[emoji91][emoji91][emoji91].

Nina asili ya Afrika Kusini kwa upande wa baba.

Marumo diehard fan

Bahlabane ba Ntwa

NB: Sisi Marumo tusipowafunga Utopolo De Mihogo mnipige Ban la mwaka [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Bahlabani ba Ntwa
Active Paw Moderator Invisible mlisubiri nn kumpiga ban ya mwaka huyu ikiwa mm binafsi niliwahi kutoa kauli kama hiyo mechi ya Arsenal na kweli mlinilima ban ya wiki kama nilivyoahidi, sasa huyu mtu mbn mlimuacha? Hii ni double standard bhn, au kwasabu mmoja wa mods ni Arsenal?
 
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
BAHLABANE BA NTWA

wapenda kandanda nchini Afrika Kusini fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.

Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.

Mimi kama shabiki nguli wa MARUMO gallants nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae

BAHLABANE BA NTWA
MARUMO 4
UTO 0
Mtakuja mfe bure...
 
NB: Sisi Marumo tusipowafunga Utopolo De Mihogo mnipige Ban la mwaka
emoji196.png
emoji196.png
emoji196.png
emoji196.png
Active , Paw do the needful
 
Nilimsikia mtangazaji akisema Bahlabane ba ntwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom