Marumo Gallants (Bahlabani ba Ntwa) fans tukutane hapa

BAHLABANE BA NTWA

wapenda kandanda nchini Afrika Kusini fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.

Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.

Mimi kama shabiki nguli wa MARUMO gallants nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae

BAHLABANE BA NTWA
MARUMO 4
UTO 0
 
Active Paw Moderator Invisible mlisubiri nn kumpiga ban ya mwaka huyu ikiwa mm binafsi niliwahi kutoa kauli kama hiyo mechi ya Arsenal na kweli mlinilima ban ya wiki kama nilivyoahidi, sasa huyu mtu mbn mlimuacha? Hii ni double standard bhn, au kwasabu mmoja wa mods ni Arsenal?
 
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtakuja mfe bure...
 
Nilimsikia mtangazaji akisema Bahlabane ba ntwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…