Marumo Gallants FC: Ni timu ya tatu toka mkiani kwenye ligi ya Afrika ya kusini. Hakuna cha kujisifu kuifunga timu mbovu

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Ukiifunga timu mbovu na chovu hakuna cha kujisifu ila ukifungwa na timu chovu kama marumo kila mmoja atakushangaa!! Ni timu ya mkiani huko bondeni!!

TABLE DSTV PREMIERSHIP

#ClubWDLGoals+/-Pts
1 Mamelodi Sundowns FCSundownsSouth African Champion 202229216251:123969
2 Orlando PiratesOrlando Pirates28155835:201550
3 SuperSport UnitedSuperSport Utd.28139633:211248
4 Kaizer ChiefsKaizer Chiefs281351032:31144
5 Cape Town City FC Cape Town City28109931:30139
6 Stellenbosch FCStellenbosch FC28910937:36137
7 Sekhukhune United FCSekhukhune28991022:26-436
8 Royal AM FCRoyal AM28971233:42-934
9 Lamontville Golden ArrowsGolden Arrows28971231:40-934
10 Swallows FCSwallows FC28971223:33-1034
11 AmaZulu FCAmaZulu FC28712929:28133
12 TS Galaxy FCTS Galaxy FC28614823:20332
13 Richards Bay FC Richards Bay28881220:28-832
14 Marumo Gallants FCMarumo295141027:32-529
15 Chippa UnitedChippa United28781329:40-1129
16 Maritzburg United FCMaritzburg Utd.28681422:39-1726
 
Timu haina hata mchezaji mmoja kwenye timu ya Taifa!! Mkiambiwa ni mashindano ya losers muwe mnaelewa!! Ndiyo maana caf hutoa fedha kiduchu kwa washiriki kwenye kombe hili. Aliyeishia robo fainali caf champions league ana pesa nyingi kuliko aliyefika nusu fainali kombe hili la losers!
 
1683615140825.png
 
Hoja yako ya kitoto sana na kwa hoja hii basi dhahiri shahiri hujui football.....

Southhampton inayoshuka daraja EPL ubora wao ikija bongo inachukua ndoo zote za bongo.
 
Timu haina hata mchezaji mmoja kwenye timu ya Taifa!! Mkiambiwa ni mashindano ya losers muwe mnaelewa!! Ndiyo maana caf hutoa fedha kiduchu kwa washiriki kwenye kombe hili. Aliyeishia robo fainali caf champions league ana pesa nyingi kuliko aliyefika nusu fainali kombe hili la losers!
Nyie mpo mashindano gani?
 
Haha, watu washapiga ramli wameona Yanga hashikiki, visingizio vimeanza mapema sana, kama timu ipo mkiani robo fainali imefikaje sasa?

Pyramids wapo nafasi ya tatu ligi ya misri wamefungwaje na Hawa wa mikiani?

Kaeni kwa kutulia msije kufa njiani maana Azam nae Hana huruma kapiga kwenye mshono
 
Buhahaha makolo tena kwenye moja na mbili, walitoka caf wakamishia nguvu kwenye ligi, wakapuyanga wakahamishia nguvu fa, wamepuyanga now wanahamishia nguvu kwa malumo
 
Ukiifunga timu mbovu na chovu hakuna cha kujisifu ila ukifungwa na timu chovu kama marumo kila mmoja atakushangaa!! Ni timu ya mkiani huko bondeni!
Kolo mwenzio naye alianzisha uzi huu..!! Pitia upate majibu mwana NGADA FC

CC FRANCIS DA DON
 
Buhahaha makolo tena kwenye moja na mbili, walitoka caf wakamishia nguvu kwenye ligi, wakapuyanga wakahamishia nguvu fa, wamepuyanga now wanahamishia nguvu kwa malumo
Kwa kuhama hawajambo.

Mwaka jana walipata kombe la kiatu cha George Mpole
 
Sidhani kama suala mhimu litakuwa Yanga kamfunga mpinzani gani, Yanga ikitinga fainali itakuwa ndiyo mada itakayo funika.
Yaani watatafuta kwa kuishi.

Kombe hili hili wanalolisema leo, NDO WALIROGA HUKO NJE YA NCHI HADI KUPIGWA FAINI KWA KUFANYA TAMBIKO HATARISHI.

Yaani CAF walijaribu kupunguza makali ya maneno kidogo. Badala ya kusema Simba ni wachawi, wakasema Simba wamefanya tambiko hatarishi
 
Haha, watu washapiga ramli wameona Yanga hashikiki, visingizio vimeanza mapema sana, kama timu ipo mkiani robo fainali imefikaje sasa?

Pyramids wapo nafasi ya tatu ligi ya misri wamefungwaje na Hawa wa mikiani?

Kaeni kwa kutulia msije kufa njiani maana Azam nae Hana huruma kapiga kwenye mshono
Simba siyo mteja wa AZAM, bali ni mteja wa PRICE DUBE
 
Ukiifunga timu mbovu na chovu hakuna cha kujisifu ila ukifungwa na timu chovu kama marumo kila mmoja atakushangaa!! Ni timu ya mkiani huko bondeni!!

TABLE DSTV PREMIERSHIP

#ClubWDLGoals+/-Pts
1 Mamelodi Sundowns FCSundownsSouth African Champion 202229216251:123969
2 Orlando PiratesOrlando Pirates28155835:201550
3 SuperSport UnitedSuperSport Utd.28139633:211248
4 Kaizer ChiefsKaizer Chiefs281351032:31144
5 Cape Town City FC Cape Town City28109931:30139
6 Stellenbosch FCStellenbosch FC28910937:36137
7 Sekhukhune United FCSekhukhune28991022:26-436
8 Royal AM FCRoyal AM28971233:42-934
9 Lamontville Golden ArrowsGolden Arrows28971231:40-934
10 Swallows FCSwallows FC28971223:33-1034
11 AmaZulu FCAmaZulu FC28712929:28133
12 TS Galaxy FCTS Galaxy FC28614823:20332
13 Richards Bay FC Richards Bay28881220:28-832
14 Marumo Gallants FCMarumo295141027:32-529
15 Chippa UnitedChippa United28781329:40-1129
16 Maritzburg United FCMaritzburg Utd.28681422:39-1726
Kifupi unalazimisha kushabikia mpira halafu haujui mpira wenyewe. Laiti kama ungekuwa unaujua mpira usingeandika huu ujinga.
 
Timu haina hata mchezaji mmoja kwenye timu ya Taifa!! Mkiambiwa ni mashindano ya losers muwe mnaelewa!! Ndiyo maana caf hutoa fedha kiduchu kwa washiriki kwenye kombe hili. Aliyeishia robo fainali caf champions league ana pesa nyingi kuliko aliyefika nusu fainali kombe hili la losers!
Wivu ni mbaya Sana pole dada 😅
 
Back
Top Bottom