Marumo Gallants hawana mpira wa kutisha saana

Marumo Gallants hawana mpira wa kutisha saana

Wale rivers jana wangecheza na mnyama walikuwa wanakufa zaidi ya horoya team wachezaji hawana control wanabutua tu lakini unga unga fc wameshindwa kuwafunga.
 
Nao watajaa kwenye mfumo kwa Mkapa kama wanavyokua wanawajaza wenzao amini
 
Yanga ni timu bora sana over marumo,yanga anaenda fainali.
 
Yanga ni timu bora sana over marumo,yanga anaenda fainali.
Hata mchukue kombe bado ukweli unabaki palepale kuwa hili ni kombe la WALIOFELI,maharage ni maharage tu hata uyawekee viungo vya dizaini gani hayawezi kugeuka kuwa nyama.
 
Marumo gallants hawana mpira wa kutisha ila ukiingia kwenye mfumo wao lazima wa kuadhibu.

Na moja ya mfumo wao bora ambao wanatumia ni 5-3-2.

Wanajaza mabeki wengi nyuma halafu wanakuwa wanafanya mashambulizi ya kushtukiza kupitia ma winger wao wenye speed

Naamini kocha wa yanga akienda na mfumo huu wa 3-5-2 atawaweza saana
Ndio maana jamaa hawafungiki kirahisi. Huo mfumo ni mgumu sana kuwafunga kama mafowadi wa timu pinzani hawana jitahada za ziada. Kuwapita mabeki watano si mchezo.

Halafu timu zinazotumia mfumo huo huwa zina washambuliaji makini, kosa moja, goli moja.

Yote kwa yote Yanga wapambane

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom