ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Tomato sauceSource!?
AahaaaaaaTomato sauce
Kwl shirikisho kombe LA luzaziMarumo ni kama ruvu shooting....mtu anaeshika mkia kwenye ligi yao akitufunga ni uzembe
Hata mchukue kombe bado ukweli unabaki palepale kuwa hili ni kombe la WALIOFELI,maharage ni maharage tu hata uyawekee viungo vya dizaini gani hayawezi kugeuka kuwa nyama.Yanga ni timu bora sana over marumo,yanga anaenda fainali.
Ndio maana jamaa hawafungiki kirahisi. Huo mfumo ni mgumu sana kuwafunga kama mafowadi wa timu pinzani hawana jitahada za ziada. Kuwapita mabeki watano si mchezo.Marumo gallants hawana mpira wa kutisha ila ukiingia kwenye mfumo wao lazima wa kuadhibu.
Na moja ya mfumo wao bora ambao wanatumia ni 5-3-2.
Wanajaza mabeki wengi nyuma halafu wanakuwa wanafanya mashambulizi ya kushtukiza kupitia ma winger wao wenye speed
Naamini kocha wa yanga akienda na mfumo huu wa 3-5-2 atawaweza saana