Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Timu ya Marumo kutoka A. Kusini imewasili Asubui ya leo, na wamelikataa gari waliloandaliwa na wenyeji wao Yanga.
Ikumbukwe siku chache mwenyej kapigwa faini kwa kosa la kupulizia sumu kweny gari la mgeni, pamoja na kukwapua kiasi cha fedha zilizokuwamo kwenye gari ilo, halafu unafika unapewa usafiri na mwenyeji huyo huyo utakubali?
Yanga jifunzeni kwa Simba acheni Figisu za kizamani na za kishamba, chezeni mpira acheni kupulizia watu madawa na kuwaibia mali zao, mnalidhalilisha Taifa.