Marumo Gallants walipowasili asubui hii walikataa basi waliloandaliwa na wenyeji wao

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Timu ya Marumo kutoka A. Kusini imewasili Asubui ya leo, na wamelikataa gari waliloandaliwa na wenyeji wao Yanga.

Ikumbukwe siku chache mwenyej kapigwa faini kwa kosa la kupulizia sumu kweny gari la mgeni, pamoja na kukwapua kiasi cha fedha zilizokuwamo kwenye gari ilo, halafu unafika unapewa usafiri na mwenyeji huyo huyo utakubali?

Yanga jifunzeni kwa Simba acheni Figisu za kizamani na za kishamba, chezeni mpira acheni kupulizia watu madawa na kuwaibia mali zao, mnalidhalilisha Taifa.

20230509_124727.jpg
 
Iwe Yanga wmeiba pesa na kupuliza sumu au lah, swali langu ni moja tu ni njia ipi iliyochukuliwa kubaini kuwa ni Yanga ndio walioiba na kupuliza gari la Rivers united? Kama mtu kuripoti tukio tu ndio kuchukuiwa hatua pasipo uchunguzi basi soka la Africa lina safari ndefu sana.
 
Wakati matukio yanatokea hayakutokea chumbani yalitokea hadharani na mashahidi walikuwa makamishina wa mchezo kutoka Uganda.

Na kwa kukuelewesha vizuri haya mambo mara nyingi club haiendi front ni mashabiki ndio hufanya kupitia maelekezo ya club yoyote ile.
 
Timu ya Marumo kutoka A kusini imewasili Asubui ya Leo, na wamelikataa gari waliloandaliwa na wenyeji wao Yanga,

Ikumbukwe Siku chache mwenyej kapigwa faini kwa kosa la kupulizia sumu kweny gari la mgeni, pamoj na kukwapua kiasi cha fedha zilizokuwamo kwenye gari ilo, Alafu unafika unapewa usafiri na mwenyeji huyo huyo utakubali?

Yanga Jifunzeni kwa Simba acheni Figisu za kizamani na Za kishamba,, Chezeni mpira acheni kupulizia watu madawa na kuwaibia mali zao, mnalidhalilisha TaifaView attachment 2615458
I love Yanga!! 💚💛

Nina uhakika ushindi kesho ni 💯%
 
Vitu vingine mnawabebesha yanga mizigo isiyo kuwa Yao,Kwanza si walikataa kusema wanakuja lini hao,huo usafiri hawajepeleka yanga buana[emoji53]

Kile lakheri wawakilishi pekee wa Africa mashariki na kati kwenye mchezo wenu muhimuuu keshoo[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
 
Timu ya Marumo kutoka A kusini imewasili Asubui ya Leo, na wamelikataa gari waliloandaliwa na wenyeji wao Yanga,

Ikumbukwe Siku chache mwenyej kapigwa faini kwa kosa la kupulizia sumu kweny gari la mgeni, pamoj na kukwapua kiasi cha fedha zilizokuwamo kwenye gari ilo, Alafu unafika unapewa usafiri na mwenyeji huyo huyo utakubali?

Yanga Jifunzeni kwa Simba acheni Figisu za kizamani na Za kishamba,, Chezeni mpira acheni kupulizia watu madawa na kuwaibia mali zao, mnalidhalilisha TaifaView attachment 2615458
Una kichaa wewe, Yanga ijifunze nini kwa Makolo? Labda Muifundishe Yanga Uchawi na Ulozi kama ule mliozindika pale S.Africa na kuambulia adhabu

Makolo ni Wachawi
 
Timu ya Marumo kutoka A. kusini imewasili Asubui ya Leo, na wamelikataa gari waliloandaliwa na wenyeji wao Yanga.

Ikumbukwe Siku chache mwenyej kapigwa faini kwa kosa la kupulizia sumu kweny gari la mgeni, pamoj na kukwapua kiasi cha fedha zilizokuwamo kwenye gari ilo, Alafu unafika unapewa usafiri na mwenyeji huyo huyo utakubali?

Yanga Jifunzeni kwa Simba acheni Figisu za kizamani na Za kishamba,, Chezeni mpira acheni kupulizia watu madawa na kuwaibia mali zao, mnalidhalilisha Taifa.

View attachment 2615458
KIPIGO KIPO PALE PALE 5-1
 
Iwe Yanga wmeiba pesa na kupuliza sumu au lah, swali langu ni moja tu ni njia ipi iliyochukuliwa kubaini kuwa ni Yanga ndio walioiba na kupuliza gari la Rivers united? Kama mtu kuripoti tukio tu ndio kuchukuiwa hatua pasipo uchunguzi basi soka la Africa lina safari ndefu sana.

Kabisaaa
 
Back
Top Bottom