Marumo Gallants walipowasili asubui hii walikataa basi waliloandaliwa na wenyeji wao

Animal🦁, hawezi Kuwa rafiki wa mwananchi🤸🤸🤸🤸.Ataongeza mabaya kwa Kuwa mwananchi hayupo tayari kuona kondoo wake wakiporwa na animal🦁
 
Kwann wamepigwa fine? Wageni walilalamika kabda ya.mechi kwamba gari yao ilivunjwa vioo wakaibiwa dola 5000 na kupuliziwa madawa kwenye vyumba vya kubadilishia.nguo
 
Kaiulize kamati ya nidhamu ya kafu.
 
Wazee wa kujitoa fahamu.

Utopolo bhana.

Umepata na likes 8,mazuzu yanasapotiana ujinga.
 
Kwa ile clip walionesha Rivers united s, hao unaowaita ni mashahidi ( makamisaa) hawakuwepo wakati tukio linafanyika bali viongozi wa Rivers united ndio wakawafuata hao maofisa kutoka CAF na kutoa taarifa na wao wakaenda ndani gari ili kuthibitisha.

Hizi tuhuma zimechukuliwa hatua ya maamuzi lakini napata wasiwasi kama kuna vitu vya msingi vimefanyika.
Gari lina cctv camera, kwanini wasiangalie aliyefanya hilo tukio na akakamatwa na kufungwa kwa kesi ya kutaka kuua watu kwa sumu? Kisha klabu nayo iadhibiwe pia kama kweli ni shabiki wa Yanga.

Kitu kingine kinachonishangaza ni kwamba inadaiwa gari limewekwa sumu ndani lakini watu wanaingia mara mbili mbili pasipo kuvaa barakoa. Kweli! Sumu ipo kwenye gari halafu hata hakuna anayechukua tahadhari. Sumu hiyo

Dereva wa hilo bus je alihojiwa? Na kwanini gari lipaki sehemu pasipo kufunga milango na madirisha? Dereva kachukuliwa hatua gani?

Namalizia kusema soka la Africa ni ngumu kupiga hatua kama uwezo wa kufiiria kichwani upo hivi.
 
Soka la Africa limepiga hatua siku nyingi sana la Tanzania ndio halijapiga hatua na halitapiga hatua kushiriki CHAN tu ni kivumbi sembuse hizo hatua?

Hata hii Tanzania inayoonekana eti imepigika ka hatua kwenye soka la vilabu ni wageni 100% wamechangia wakiondoka tunabaki na nini?
 
Kukata rufaa ni ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…