Nna Movie Pitch!
Ambayo ni Action Movie ila iwe directed na Guy Ritchie
Plot
Mmama umri umeenda anakuwa casualty kwenye Mass shoot ambayo imefanywa na kundi la kigaidi kupeleka ujumbe kwa govt.
Ila huyo mmama anawatoto watatu, mmoja mwanamke na wawili wanaume.
Huyu mwanamke ni MI 6(awe na british accent, i have my reasons)
Then hao ndugu wawili waliobaki mmoja ni CIA na Mwingine ni FBI kwahiyo wakaamua ku team up kufanya revenge ya Mama yao. Hapo sasa inakuwa ni full action plus show off kila mmoja anaonyesha kuwa division yake ni cool kuliko mwingine. Inafika point wanatafutwa na Gov zote mbili
Ila mwishon kunakuwa na bonge la twist!
Please kama Kuna Movie ya design inayofanana na hii tayari naomba jina nkaangalie.