Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Naomba kupata maoni yenu wakuu.
👉Je unadhani nini kimefanya Marvel movies zikose mvuto?? Hasa phase 4 watu wameilalamikia kwamba imekosa ubora. Ndio maana hata mauzo yapo chini tofauti na phase zingine.
 
Naomba kupata maoni yenu wakuu.
[emoji117]Je unadhani nini kimefanya Marvel movies zikose mvuto?? Hasa phase 4 watu wameilalamikia kwamba imekosa ubora. Ndio maana hata mauzo yapo chini tofauti na phase zingine.

Wameseti the Bar too high kwa Phase iliyopita.

Ni sawa na utoke kuangalia GOT au Prison Break halafu uje kuangalia Series nyingne utaona za kawaida sana
 
Naomba kupata maoni yenu wakuu.
👉Je unadhani nini kimefanya Marvel movies zikose mvuto?? Hasa phase 4 watu wameilalamikia kwamba imekosa ubora. Ndio maana hata mauzo yapo chini tofauti na phase zingine.
Covid na kifo cha boseman kimeharibu plan nzima , Disney + . inaonesha wanashooot movie moja kwa camera nyingine kwenye post produdiction mfano good butcher ambaye ajakilli Gods, Kang anakuwa referenced Kama him , hawana finnished script, cgi mbovu NI kutokana na previz wanazofanya kabla hata ya director hajawa attached (no input ya director) au kuhire director ambaye hajui cgi
 
Jonathan Majors anapitia magumu tena naskia MCU wanataka kufanya replacement yake ya Kang... career ya mtu iko matatani tayari
 
Wanasema kampiga mpenzi wake, hizi kesi za unyanyasaji wa wanawake bla blah... si unajua ngozi nyeupe
Ni wahuni tu jamaa anafanya poa Sana, yani ngozi nyeusi huwa ni balaa, check wakina Will Smith, Eddie Murphy, Martin Lawrence, diezel Washington,
 
Time is everything. Emuchekini hi summary ya Kang iko vyema saan

Mkuu mimi hapo sikuelewa mwishoni hapo, je yule alipotelea kwenye lile li mtambo ni mmoja wapo wa hawa waliokuwa wanashangilia uwanjani na huyu ndo mkubwa wao
 
Naomba kupata maoni yenu wakuu.
👉Je unadhani nini kimefanya Marvel movies zikose mvuto?? Hasa phase 4 watu wameilalamikia kwamba imekosa ubora. Ndio maana hata mauzo yapo chini tofauti na phase zingine.
Hivi mkuu, huyu jamaa kang mwenye uwezo kupigana nae kwa Avengers ni nani maana ana nguvu, harafu yupo simple balaa😆 nimependa alivyocheza jamaa, mara ya kwanza kumuona ni kwenye CREED 111
 
Hivi mkuu, huyu jamaa kang mwenye uwezo kupigana nae kwa Avengers ni nani maana ana nguvu, harafu yupo simple balaa[emoji38] nimependa alivyocheza jamaa, mara ya kwanza kumuona ni kwenye CREED 111
Kang amefanya vyema Sana kwenye Ant-man and the Wasp
Ninachotaka kuona ni nini atafanya baada ya kufanikiwa kuja duniani
 
Back
Top Bottom