Marvel Cinematic Universe special thread

Wakuu, natumai ni wazima wa afya.

1. Disney imemfukuza kazi Victoria Alonso, aliyekuwa mkuu wa VFX Marvel Studios.

2. Shinkolobwe mine, Katanga-DRC.

Leo ndio nimegundua kuwa "real" inspiration ya "Wakanda" ni hapo DRC kutoka kwenye mgodi wa madini ya uranium, ambayo yalikuwa na kiwango kikubwa kuliko vyote duniani, asilimia 65, yalipewa jina la K-65. Kutokana na kiwango kikubwa sana cha uranium katika mawe hayo, Marekani ilifanya siri sana mgodi huo, kiasi kwamba walikuwa wanajitahidi kufuta neno "Shinkolobwe" kwenye ramani nyingi za dunia kadiri ya uwezo wao. Ukizingatia pia ilikuwa kipindi cha vita ya pili ya dunia, ndio hayo ambayo yalisafishwa( kufanyiwa enrichment) ili yafikie kiwango cha kutengeneza bomu/mabomu ya nuklia. Ambapo wanasayansi wa marekani walifanikiwa(katika Manhattan project) na ndio yale the fat man and the little boy, the rest is history, well and the future.

Stan Lee na Jack kirby wakawa inspired na kiwango kikubwa cha uranium katika mawe ya mgodi huo, kiasi cha asilimia 65, ndio wao wakaja na wazo la mawe yenye nguvu ya ajabu, yanayopatikana katika nchi moja ya Africa ambayo waliyaita Vibranium.
 

Attachments

  • Comic.jpg
    56.3 KB · Views: 11
Black panther 1 & 2
.W'kabi alienda wapi mbona tuliona tu mkewe okoye alimnyoonyeshea spear sehemu ya kwanza halafu hatukumuona tena
Nikiambiwa watu walioitendea vyema black panther Basi sitawaacha d'jaka na Lord M'baku
Wkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua muigizaji wake Daniel Kaluuya alikua bize. Ratiba ya kushoot BP 2 iliingiliana na kushoot muvi ya NOPE. Hivyo akaona aikache tu BP ila kama zisingeingiliana angeonekana.

Lakini Marvel Studio walivyo na akili sana wamesema kwamba Wkabi hakuonekana kwenye Wakanda Forever kwakua alikua jela kutokana na tukio alilotenda kwenye BP 1 la kupambana na King Tchalla.
 

It make sense.
 
Noma sana
 
Hiyo nope Ni action movie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…