Marvel Cinematic Universe special thread

Mzee huu mzigo ni mkali nidownload na story yake inahusu nini kwa ufupi
Katuni kabisa unaita mzigo mkali ,
😁
😁
wakati wa kuangalia huwa mnajifungia wapi ili msionekane kuwa mnatizama katuni?
 
Naihitaji sana hii series inaitwa WESTWORLD. Naipata chimbo lipi toka season 1 mpaka 4? Nimeitafuta nimeikosa
 
Mcu strongest character so far anabaki kuwa
Mmoja tu nae ni ultron wa what if akiwa na ile armour ya infinity stones

Hands down and its not even close
Infinity ultron ni balaa akiwa na mindstone tu peke yake alimuondoa thanos in 5 seconds flat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…