Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Nilikuwa naangalia trailer ya Aqua man 2, hivi wanawezaje kushoot kupigana chini ya maji Kwa zile spears zao halafu cheche za moto zinaonekana??
Kwa kutumia logic yako hiyo hiyo. Je avangers wanawezaje kupumua kawaida kila planet wanayokuwepo. Eg walivyoneda Titan kupambana na Thanos hawakuavalia mask za oxygen
 
Series ya LOKI 2; inazidi kufanya maajabu. Episode 3 imeua sanašŸ”„šŸ”„ (ms Minute) wamemtengeneza bhanašŸ˜°āš ļø
Seema performance ya major ameua sana TIME....... is........ everything ,pia nimependa walivyo punguza pesence ya lady Loki sikumuelwa kabisa s01 ila hi show inamuonekano mkali sana uko very unique Kama Chernobyl ya hbo mazee
 
1698162811996.jpg
 
Natasha romanoff/Scarlet johansson na Tony stark/Robert downey jr warudi au wasirudi?
 
kama kuna mtu ana link au anaweza hitumia movie inaitwa charm city kings anicheki
 
Oi na sikia writer wa avengers endgame na infinity war wamerudi Kama advisor marvel studio, pia marvel wanataka director 1 kwa both secret wars na Kang dynasty ambazo zote anaandika yule Michael Waldron (Sema kunauwezekano huyu mwamba akimaliza draft ya Kwanza akatimuliwa)
 
Back
Top Bottom