brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 590
- 767
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loki mzeeHivi kati ya LOKI na GEN V ipi kali nianze nayo kuichukua
Pamoja SanaLoki mzee
Utopolo tu.Secret invasion ni Kali wazee?
Kwann?Utopolo tu.
Kang hivi yupo kwenye movie ganiJonathan major (kang )fired avanger Kang dynasty imekuwa avanger 5
Mademu wamemuharibiaNimehuzunika sana 😭😭😭
View attachment 2847525
Ant man and the wasp:quantumaniaKang hivi yupo kwenye movie gani
Marvel hivi vi spinoff sjui wamekomaa navyo vya nini ujinga mtupu.Echo imetoka ila NI utopolo zaidi ya secret invasion
Kiasi flan disney ndio tatizo anaitumia marvel kuikuza disney+ ndo yanakuja mamb haya ya kutengeneza spin off zisizokuwa na maanaEcho imetoka ila NI utopolo zaidi ya secret invasion