Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Kuhusu ile minong'ono ya hapa na pale kuwa labda kuna uwezekano mbeleni kuwa mabosi kutoka DC na MCU wanaweza kukubaliana kutengeneza movie moja inayohusisha pande zote mbili; sasa ni kwamba Kevin Feige ametoa neno kuwa "jambo hilo halitowezekana kamwe!"
 
Robert Downey Jr bado tunaye.

Safari hii anarudi kama adui DOCTOR DOOM
images (25).jpeg

20240728_100406.jpg
 
So, Henry Cavill atapata role pale MCU . Amepewa comeo ndogo kwenye Deadpool. Sasa, tusubiri tuone watampa character gani kwa ajili yake.
1722317751154.jpg
1722317757142.jpg
 
Jonathan Majors amesema kuwa amevunjika moyo baada ya Robert Downey Jr kutangazwa kuwa Doctor Doom kama mbadala wa Kang katika AVENGERS movies zinayofuata.

Pamoja na hayo ametoa baraka zote kwa mhusika (dr. Doom) huyo mpya kwenye kuendeleza alipoishia.
20240801_004431.jpg
 
Deadpool & Wolverine movie imefanikiwa kukusanya $590,629,906 Globally ndani ya siku 6 tu. Tutegemee 1 billion dollars siku za hivi karibuni.

ryan-reynolds-hugh-jackman-deadpool-wolverine-66602ad4ac63c.jpg
 
Kati ya projects zijazo za Marvel; THUNDERBOLTS* ni moja kati ya movies zenye action nyingi na kali sana. But most nasubiri sana kuona utambulisho wa Sentry 🥱

images.jpeg
 
Back
Top Bottom