mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
najuamshamba_mwingine Amini usiamin hii movie itakuwa moja ya movie kali za mwakani
HowRobert Downey Jr bado tunaye.
Safari hii anarudi kama adui DOCTOR DOOMView attachment 3054768
View attachment 3054769
Russo Bros ambao watakuwa waongozaji wa movie mbili za mwisho kwenye mlolongo wa MALTIVERSE SAGA, Avengers Secret war na Doomsday; naona wameona ni vizuri wamrudishe aje afunge chapter vizuri kama alivyoianzisha safari ya MCU mwaka 2008.
Na wakaipa tuzo ya series bora ya ki-superhero kwa mwaka 2022Hawa jamaa wanaotoaga reviews pale Rotten tomatoes wanakuwaga na vichwa kweli?
View attachment 3062908
Hii ni fan casting lakin inaonekana itamfaaSo, Henry Cavill atapata role pale MCU . Amepewa comeo ndogo kwenye Deadpool. Sasa, tusubiri tuone watampa character gani kwa ajili yake.View attachment 3056610View attachment 3056611
Inatoka lini hiiKati ya projects zijazo za Marvel; THUNDERBOLTS* ni moja kati ya movies zenye action nyingi na kali sana. But most nasubiri sana kuona utambulisho wa Sentry 🥱
View attachment 3069235
Mwezi wa 5 mwakaniInatoka lini hii
Majukumu Guys. Time inaanza kututupa asee.Hivi wakina da_vinci na wengineo wako wapi siku hizi? Angalau Anti-monitor namuona mara kwa mara.
Jionesheni angalau tujue kuwa bado mko hai😆