Nami kuna uwezekano kabisa nisiweze kuimfika cinema mwezi huo. Roho inaniuma kweli Mungu anisaidie.
Nawaombea kwa Mungu Fans wote wa Marvel Studios mliopo kwenye uzi huu afya na uhai tuumalize huu mwaka salama. Huu mwaka ni mtamu sana kwetu wapenzi wa MCU.
Nilivyosikia MoM imesogezwa hadi mwezi May roho iliniuma asee daah kama nimefiwa na ndugu. Kumbe lengo la kusogeza tarehe ni ili wafanye shooting upya baadhi ya scene. Nimemuona Charles Xaver sasa rasmi X-Men wapo MCU
Natabiri hii muvi ya MOM itakua more complex zaidi kuliko muvi zote za marvel kutokana na era tuliyopo ya Multiverse na wengi bado hawajaelewa ni kitu gani hichi. Tumpongeze sana Michael Waldron kwa kazi nzuri anayoifanya ya kushape Multiverse for MCU... Nadhani yeye ndio anakazi nzito zaidi kwa sasa Katengeneza Loki, katengeneza MoM na yupo anatengeneza Loki S2