Nimeiangalia jana/leo saa nane usiku. Aisee kuna uwezekano mkubwa Wanda ndio Villain wa hii series.M. O. M second trailer imetoka nasikia
Nimetoka kuiangalia mda huu. Daah hatari sana kwa kweli. Nahisi hii movie itavunja record ya movies zote za marvel maana iko so unique from story to characters wake. Mashabiki hawajawahi kuona marvel ikitengeneza movies zenye dark themes kama hii.Nimeiangalia jana/leo saa nane usiku. Aisee kuna uwezekano mkubwa Wanda ndio Villain wa hii series.
Halafu naona Mordo kamfunga pingu Doctor... I can't wait, I can't wait, I can't wait for May 6 (In General Aladeen voice)😅😅
Nimetoka kuiangalia mda huu. Daah hatari sana kwa kweli. Nahisi hii movie itavunja record ya movies zote za marvel maana iko so unique from story to characters wake. Mashabiki hawajawahi kuona marvel ikitengeneza movies zenye dark themes kama hii.
Nami kuna uwezekano kabisa nisiweze kuimfika cinema mwezi huo. Roho inaniuma kweli Mungu anisaidie.May 6 ntakuwa mbali na Cinema ila sielewi lazima nitafika cinemax “whatever it takes” in cap’s voice
Uyo ni variant of iron man tena played by Tom cruiseFans wako na mijadala online kuhusu huyu ni nani kwenye trailer mpya?View attachment 2119397
Nami kuna uwezekano kabisa nisiweze kuimfika cinema mwezi huo. Roho inaniuma kweli Mungu anisaidie.
Nawaombea kwa Mungu Fans wote wa Marvel Studios mliopo kwenye uzi huu afya na uhai tuumalize huu mwaka salama. Huu mwaka ni mtamu sana kwetu wapenzi wa MCU.
Nilivyosikia MoM imesogezwa hadi mwezi May roho iliniuma asee daah kama nimefiwa na ndugu. Kumbe lengo la kusogeza tarehe ni ili wafanye shooting upya baadhi ya scene. Nimemuona Charles Xaver sasa rasmi X-Men wapo MCU
Natabiri hii muvi ya MOM itakua more complex zaidi kuliko muvi zote za marvel kutokana na era tuliyopo ya Multiverse na wengi bado hawajaelewa ni kitu gani hichi. Tumpongeze sana Michael Waldron kwa kazi nzuri anayoifanya ya kushape Multiverse for MCU... Nadhani yeye ndio anakazi nzito zaidi kwa sasa Katengeneza Loki, katengeneza MoM na yupo anatengeneza Loki S2
Kiukweli mimi sijaipenda hii muvi, kuna taste naikosa ndani ya muvi. Niliinjoi zaidi Mapigano ya mwisho
Hasa Makkari was so sweet
Cartoon lovers mpo?
Naomba majina ya muvi kama za huyo jamaa kwenye picha yako za 2022 nikazipakue. Mi sipendi hayo ma nsyuka ya ulaya/marekani mnayo jadili humuAnimation
Naam origin ya Wanda na Quick silver ni watoto wa Magneto. Mimi naona tuanze kumuabudu Kevin Feige asee anatujali sana, nadhani ajili yeye mwenyewe ni die fan wa MarvelThe future is exciting aisee, Professor kaja wana link na X-men maana scarlet witch mwenyewe ni mutant huyu dah things are getting hot kila siku [emoji3062]
Sio mtumiaji wa Youtube so sijui mambo mengi, labda ungenipatia link hiyo nikajionee namiHivi unaangaliaga Honest trailers? aisee ya hii Eternals nlicheka sana walivyosema “eti angelina jolie ana freak out akikumbuka kuwa ana share screen time na nobodys”
Sio mtumiaji wa Youtube so sijui mambo mengi, labda ungenipatia link hiyo nikajionee nami
Naomba majina ya muvi kama za huyo jamaa kwenye picha yako za 2022 nikazipakue. Mi sipendi hayo ma nsyuka ya ulaya/marekani mnayo jadili humu
Kumbe kingsman imesha toka🙏Kama sio misogynistic cheki Movie inaitwa
- The 355
Then angalia- Kingsman
- uncharted, hii usubir kidogo maana iko cinemas sasa hivi
mimi ni die-hard fan wa DC.Naam origin ya Wanda na Quick silver ni watoto wa Magneto. Mimi naona tuanze kumuabudu Kevin Feige asee anatujali sana, nadhani ajili yeye mwenyewe ni die fan wa Marvel