unque bin unuq
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 350
- 456
Binafsi sikupenda walivyobadiri character yake kutoka kua ya kiume kuifanya ya kike. The same as MakkariYaaani nilivyo angakia doctor strange one nilikua nafurahi kumsikiliza ancient one, aiseee kila akiongea anatoa madini tu
Nadhani ilikua john snow ila ancient one kaushika moyo wangu.
Hata katika end game alivyokutana na hulk yaani anatema madini tu. Script yake iliandika kwa ustadi sana na ile British accent imenogesha zaidi.
au ndugu zangu nyie ancient one mlimuonaje?
No yeye anaangalia mwenye alafu anakuja kuuonesha wewe kwa vipande,ukiangalia hizo clip lazma ufurahi yaani.
Kuna movie moja captain America anapita hiv mbele ya camera alafu anaikwepa ile camera,so hizo details hizo huwez ziona,nadhan ni edge of ultron mwishoni kule.
Clips zinakuaga dakika 8,15 ndefu sana 20.
Ni kama nampigia debe lakin ni mcanada hata hatujuani,ni vile jamaa anafanya kazi nzuri hadi MCU wame mrecognise mjamaa,ni ana studio kabisa kwa kazi hiyo
Ok.. nimeona nikamuangalie, aisee MCU ni the best yaani ideas zilivyokuwa detailed ziko exceptional
by the way jamaa amepata new subscriber, thanks [mention]bravocharlie [/mention] and [mention]tzniceguy [/mention]
Itabidi nianze kutumia Youtube maana naona napitwa na mengi!Kama unamjua canadianlad kweli wewe ni marvel fan I salute you
Unataka uwone kesho yako nn na uwishi miaka mingi maana dctr strng mzee wa time
Hapana sitaki kuijua Kesho coz is prohibited by Law of nature ndio maana hata Strange alikatazwa kufanya hivyo (Tempering with time)Subili niongeze
Raya and last dragon
Coco
Incredible 1/2
How to train your dragon
Inside out
White snake 1/2
Naizer
Nyingine nyingi tuhh
Marvel Mates |
DC wangekuwa serious wangemuacha marvel mbali sana kwanza wana characters wengi kuliko marvelHello Marvel Mates kuna jamaa alikua anaisema marvel bila kua na ufaham wa how marvel operates, Nimeona nilete comment yangu hapa ili wasiojua wajue pia[emoji3577]
Jamaaa katupiga kamba balaa sema bahati yake mwandishi hayupo humu ngoja nimuache. Ila kwa kuweka mambo sawa..
[emoji3581]Zack Snyder sio mwenye sauti kuu DC ni kiongozi kwenye upande wa creativity yaani DCEU. Warner bros ndio wenye sauti na ndio wanasababisha kufeli kwa DC kwakua hawampi full control ya creativity Zack Snyder. Na muvi za DC hua haziigizwi usiku bali ni tone Color tu walio ichagua DC ili kuweka radha tofauti.
[emoji3581] Umempamba Stan Lee lakini ukae ukijua yeye hahusiki kwenye creativity ndio maana hua credited kama Executive producer/Creator
Creativity team ya Marvel inaundwa na Kevin Feige, Victoria Alonso,Lois despacito,Stephen Broussard, Nat Moore,Jonathan Schwartz,Trinh Tran,Bran Winderbaum na kipindi cha nyuma hasa phase 2 alikuwepo Josh whedon
[emoji3581]Mpango mzima wa muvi 22 kwa miaka kumi zenye storyline moja umeundwa na vichwa vitatu ambavyo ni Avi Arad, Sami Raim na Kevin Feige ambae ni Boss wa Marvel studios.
[emoji3581] Paragraph yako ya mwiso ndio umeongea uongo mkubwa sana...Looh hadi aibu.
[emoji117] Marvel ilikua haina hela kabisa miaka ya 90 huko so ilikua inauza baadhi ya characters wake ili kuendesha Kampuni. Mfano iliuza Spiderman na Venom kwa kampuni ya Sony, ikauza XMen na Fantastic four kwa 21th Fox yaani marvel inapata kitu kama asilimia 10% tu kwenye mauzo ya hao characters.
Mwaka 1999 Marvel ilitoa muvi ya Blade hii muvi iliuza kiasi chake na hii ndio pesa zilizopatikana ziliwezesha kuanzisha marvel studio mwaka 2007. Kama kawaida Disney ni wazee wa kunusa hela tu kama walivyoinusa kampuni ya Pixar animation wakaichukua hivyo basi mwaka 2009/10 Disney rasmi iliinunua Marvel studios so Marvel character wote wapo chini ya Disney. Hivyo Boss wa Marvel anapokea naelekezo kutoka kwa CEO wa Disney ambae ni Bob Igler. Disney wenyewe wanachohusika kwenye Marvel studio movies wanakua kama wasambazaji (Distributor)
Hivyo basi Marvel studios ni stand alone studio inayojitengenezea muvi zake hata Bob Igler hahusiki kwenye creativity yeye anapewa taarifa tu kama boss kama kuna promotion na pesa zinatakiwa yeye ndio ana issue
[emoji117]Mwaka 2019 rasmi kampuni ya Disney ilinunua kampuni ya 20th Fox na 21th Fox hii ina maana character wa marvel waliopo Fox kaa vile Deadpool,Xmen na Fantastic four wote wapo marvel/Disney. Sio hivyo tu Hata James Cameron yupo chini ya Disney maana muvi zake zote za Titanic na avatar zote zilikua fox sasa zinamilikiwa na Disney.
[emoji3581] WanaBros wao ni wamiliki na wasambazaji wa DC movies
Wazo zuri. Binafsi nitaendelea na GROOTWakuu nimeona nianzishe hichi kitu kinaitwa Role Playing humu kweye huu uzi, Naona inatumiwa pia kwenye Video games (Sikujua hili kabla)
Marvel Mates
Role playing: Ni mfumo fulani hua unatumika kwenye Group work ambapo mtu anaweza kuchagua character fulani na kujifanya yeye ndio character huyo hivyo anatakiwa kua kufahamu mambo mengi yanayomuhusu character huyo.
So kwa hapa kwenye uzi huu ningependa kila mtu achague character ampendae na kujifanya ndio yeye! Character hatakiwi kuchaguliwa mara mbili. Mimi namchagua Stephen "Doctor" Strange na alternate version zake zote kua role playing yangu. Tutakua tunaitana humu kutokana na majina tuliyojichagulia.
Kwenye mitandao mingine unaweza kubadirsha jina ukiwa ndani ya group hilo la Role playing ambalo hua linatumika ndani ya Group pekee ukitoka njee unabaki na jina lako la Account. Sidhani kama humu jf inawezekana kufanya hivyo labda tumuulize Max.
Karibuni kama mtapenda wazo langu tufanye hivyo✌️
View attachment 2125081
Cc:
Jorge WIP bravocharlie Kunguru wa Manzese I am Groot Franky Samuel tzniceguy unque bin unuq Joe Unruly trigger_ three phase Xaph87 MrConveter Dream Queen Mr Devil McWon_Calvin
Shida kubwa iliyopo DC ni ubinafsi wa mabosi wa WB. Kiufupi wale jamaa hawashauriki wala kupokea maoni ya mashabiki na wadau toka outsideDC wangekuwa serious wangemuacha marvel mbali sana kwanza wana characters wengi kuliko marvel
Na marvel wanaiga sana character wa dc
Superman / ikaris
Batman/ moonknight
Dr Adam / iron Man
Atom / ant man
Green arrow / Clint Barton (hawkye)
Flash / makarri na kwenye animation plus DC wako vizuri
Redhood / winter solder
Deathstroke / Deadpool
Red tornado / vision
Elongated man / Mr fantastic
Doom patrol ( my favorite) / X-Men
Green lantern / Nova ( upcoming project)
DC angekuwa serious angempiga marvel parefu
Waliniuzi walivyoifuta Snydey verseShida kubwa iliyopo DC ni ubinafsi wa mabosi wa WB. Kiufupi wale jamaa hawashauriki wala kupokea maoni ya mashabiki na wadau toka outside
WB wanazingua sana, baada ya "Justice league; Snyder Cut", walisema ile ndo inaweza ndo ikawa mara ya mwisho wanafanya nae kazi.Zack Snyder sio mwenye sauti kuu DC ni kiongozi kwenye upande wa creativity yaani DCEU. Warner bros ndio wenye sauti na ndio wanasababisha kufeli kwa DC kwakua hawampi full control ya creativity Zack Snyder. Na muvi za DC hua haziigizwi usiku bali ni tone Color tu walio ichagua DC ili kuweka radha tofauti.
Darkseid ni "Ultimate Villain" aisee, wanaomlinganisha darkseid na thanos huwa wanamvunjia heshima sana darkseid.Waliniuzi walivyoifuta Snydey verse
Mamaee ile story ya darkseid ingeendelea ingekuwa hatari kwanza lile jamaa ni zaidi ya thanos
Kwanza linakwambia lime lay way waste 100, 0000 worlds sio thanos anaepunguza nusu ya population kwa kila planet
Armada = "a fleet of warships "Darkseid ni "Ultimate Villain" aisee, wanaomlinganisha darkseid na thanos huwa wanamvunjia heshima sana darkseid.
"Prepare the Armada"
WB wanazingua sana, baada ya "Justice league; Snyder Cut", walisema ile ndo inaweza ndo ikawa mara ya mwisho wanafanya nae kazi.
Kuna siku niliwahi waambia washkaji zangu ya kwamba, "itokee Elon Musk anunue WB,then DC creativity team wawe na free reigns wenzano wa marvel, ndo hapo MCU watakuwa na real competition kwenye Big Screens"(najua ni wishful thinking tu.)
Pia so far trailer ya The Batman inatoa matumaini kimtindo, then teasers za The flash, Black Adam na Aquamn;Lost Kingdom sio mbaya nazo. Tusubiri tuone. Hopefully.
Wakuu nimeona nianzishe hichi kitu kinaitwa Role Playing humu kweye huu uzi, Naona inatumiwa pia kwenye Video games (Sikujua hili kabla)
Marvel Mates
Role playing: Ni mfumo fulani hua unatumika kwenye Group work ambapo mtu anaweza kuchagua character fulani na kujifanya yeye ndio character huyo hivyo anatakiwa kua kufahamu mambo mengi yanayomuhusu character huyo.
So kwa hapa kwenye uzi huu ningependa kila mtu achague character ampendae na kujifanya ndio yeye! Character hatakiwi kuchaguliwa mara mbili. Mimi namchagua Stephen "Doctor" Strange na alternate version zake zote kua role playing yangu. Tutakua tunaitana humu kutokana na majina tuliyojichagulia.
Kwenye mitandao mingine unaweza kubadirsha jina ukiwa ndani ya group hilo la Role playing ambalo hua linatumika ndani ya Group pekee ukitoka njee unabaki na jina lako la Account. Sidhani kama humu jf inawezekana kufanya hivyo labda tumuulize Max.
Karibuni kama mtapenda wazo langu tufanye hivyo[emoji3577]
View attachment 2125081
Cc:
Jorge WIP bravocharlie Kunguru wa Manzese I am Groot Franky Samuel tzniceguy unque bin unuq Joe Unruly trigger_ three phase Xaph87 MrConveter Dream Queen Mr Devil McWon_Calvin
Nipo mtupu kabisa upande wa Dc Comics, ngoja leo nianze kuwasoma Doom Patrol. Dc hawathamini fans waoDC wangekuwa serious wangemuacha marvel mbali sana kwanza wana characters wengi kuliko marvel
Na marvel wanaiga sana character wa dc
Superman / ikaris
Batman/ moonknight
Dr Adam / iron Man
Atom / ant man
Green arrow / Clint Barton (hawkye)
Flash / makarri na kwenye animation plus DC wako vizuri
Redhood / winter solder
Deathstroke / Deadpool
Red tornado / vision
Elongated man / Mr fantastic
Doom patrol ( my favorite) / X-Men
Green lantern / Nova ( upcoming project)
DC angekuwa serious angempiga marvel parefu
Interesting....Waliniuzi walivyoifuta Snydey verse
Mamaee ile story ya darkseid ingeendelea ingekuwa hatari kwanza lile jamaa ni zaidi ya thanos
Kwanza linakwambia lime lay way waste 100, 0000 worlds sio thanos anaepunguza nusu ya population kwa kila planet
Sema tu Elon hajajikita sana kwenye movie industryWB wanazingua sana, baada ya "Justice league; Snyder Cut", walisema ile ndo inaweza ndo ikawa mara ya mwisho wanafanya nae kazi.
Kuna siku niliwahi waambia washkaji zangu ya kwamba, "itokee Elon Musk anunue WB,then DC creativity team wawe na free reigns wenzano wa marvel, ndo hapo MCU watakuwa na real competition kwenye Big Screens"(najua ni wishful thinking tu.)
Mpaka sasa sioni Logic ya kumuondoa Beb afleck he was perfect Batman, lakini pia kwani nilazima watuletee muvi ya batman pekee?? Mm hata sipo interested na hii muvi, DC wapuuzi kabisa hawawezi kua na continuity ya stori moja tu kama marvel sio kureboot franchise kila baada ya miaka kadhaa. InaboaPia so far trailer ya The Batman inatoa matumaini kimtindo, then teasers za The flash, Black Adam na Aquamn;Lost Kingdom sio mbaya nazo. Tusubiri tuone. Hopefully.
Darkseid ni "Ultimate Villain" aisee, wanaomlinganisha darkseid na thanos huwa wanamvunjia heshima sana darkseid.
"Prepare the Armada"
Armada = "a fleet of warships "
kudadekii [emoji1787][emoji1787] na wangeendelea na sequal mzee mzima alikuwa anakuja earth kwa ajili ya his ultimate prize " the ant life equation"
baada ya stephenwolf kushindwa kazi na alikuwa ame mind kisengee
Kila mashabiki wa marvel wanachoomba marvel wanatoa. They care about Us😍sema dc wanatakiwa wa step up the game, mashabik tunapenda burudan wangekuwa wanafanya vzr ingekua radha zaid sio mpaka tusubiri Marvel tu, kama hii Batman hadi kwenda theatre nawaza sijui inaonyeshwa tayari au!
Ps mm simuamin Pattinson kabisa ndio maana
Kila mashabiki wa marvel wanachoomba marvel wanatoa. They care about Us[emoji7]
Mimi bado hiyo THE BATMAN naiangalia kwa upande sijui kama itakuwa na maajabu kama expectations za watu wengi zilivyo.sema dc wanatakiwa wa step up the game, mashabik tunapenda burudan wangekuwa wanafanya vzr ingekua radha zaid sio mpaka tusubiri Marvel tu, kama hii Batman hadi kwenda theatre nawaza sijui inaonyeshwa tayari au!
Ps mm simuamin Pattinson kabisa ndio maana