Marvel Cinematic Universe special thread

Kwenye spider Man no way home nashangaa kuwaona akina, Andrew Garfield,Tobey Maguire,green goblin,electro,Otto,lizard na sandman imekuaje Tena?
 
Ahsante sana mkuu kwa maelekezo yako ila Ukweli siipendi cast ya Robert as Bruce Wayne

Mbona mm nazielewa vuzuri tu hasa X-Men.

Anzia Iron Man... Ukifika Spiderman no way home angaia kwanza Spiderman 1

Hongera sana...Karibu AntiHero Winter soldier
Mkuu, DC pamoja na DCUE ina characters wazuri sana, wape chance, natumai utawaelewa. (NB; WB ndo wanaiharibu).
 
Mkuu, DC pamoja na DCUE ina characters wazuri sana, wape chance, natumai utawaelewa. (NB; WB ndo wanaiharibu).

DCEU... sema kwenye animation wanafanya vizur, napenda sana wafanye vzr ili niwe nimeishi kwenye era nzur sio Dc ianze kufanikiwa wakat sis hatupo
 
DCEU... sema kwenye animation wanafanya vizur, napenda sana wafanye vzr ili niwe nimeishi kwenye era nzur sio Dc ianze kufanikiwa wakat sis hatupo
Kwenye ishu ya cinema, imetenganishwa ka Big Screens Na Small Screens.katika comic universes, Big screen ndo inahusisha muvi zote ambazo ni Live action, huku sasa MCU kapaweza sana sana sana. Kwenye Small screen ndo animation sasa, na huku ndo DC/DCEU anatamba sana, ingawa nako MCU wa wanakuja speed sana.
Umeongea point man, dc wafanye fresh tu-enjoy both worlds(MCU&DCEU).
 
Kwenye spider Man no way home nashangaa kuwaona akina, Andrew Garfield,Tobey Maguire,green goblin,electro,Otto,lizard na sandman imekuaje Tena?
Ni concept ya multiverse


Wametoka dunia nyengine baada ya Dr strange kukosea spell yake ya kufanya watu wote wamsahau peter Parker kama ni spider Man baada ya kuwa exposed na masterio kwenye Spiderman far from home
 
Kwenye spider Man no way home nashangaa kuwaona akina, Andrew Garfield,Tobey Maguire,green goblin,electro,Otto,lizard na sandman imekuaje Tena?
Clearly bado hujaelewa concept ya multiverse vizuri
 

MCU in order - how to watch the Marvel Cinematic Universe in order​

1. Captain America: The First Avenger

2. Agent Carter (season 1)

3. Agent Carter (season 2)

4. Agent Carter (one-shot on Iron Man 3 DVD)

5. Captain Marvel

6. Iron Man

7. Iron Man 2

8. The Incredible Hulk

9. The Consultant (one-shot on the Thor DVD)

10. A Funny Thing Happened on the Way to Thor's Hammer (one-shot on the Captain America: The First Avenger DVD)

11. Thor

12. The Avengers (aka Avengers Assemble in some regions)

13. Item 47 (one-shot on the Avengers Assemble DVD)

14. Iron Man 3


MARVEL STUDIOS
15. All Hail the King (one-shot on the Thor: The Dark World DVD)

16. Agents of SHIELD (season 1, eps 1-7)

17. Thor: The Dark World

18. Agents of SHIELD (season 1, eps 8-16)

19. Captain America: The Winter Soldier

20. Agents of SHIELD (season 1, eps 17-22)

21. Guardians of the Galaxy

22. Guardians of the Galaxy Vol 2

23. Daredevil (season 1)

24. Agents of SHIELD (season 2, eps 1-10)

25. Jessica Jones (season 1)

26. Agents of SHIELD (season 2, eps 11-19)

27. Avengers: Age of Ultron


DISNEY
28. Agents of SHIELD (season 2, eps 20-22)

29. Daredevil (season 2, eps 1-4)

30. Luke Cage (season 1, eps 1-4)

31. Daredevil (season 2, eps 5-11)

32. Luke Cage (season 1, eps 5-8)

33. Daredevil (season 2, eps 12-13)

34. Luke Cage (season 1, eps 9-13)

35. Ant-Man

36. Agents of SHIELD (season 3, eps 1-10)

37. Agents of SHIELD (season 3, eps 11-19)

38. Iron Fist (season 1)

39. Captain America: Civil War
40. Black Widow
(watch credits scene after Avengers: Endgame)

41. Agents of SHIELD (season 3, eps 20-22)

42. The Defenders (season 1)

43. Agents of SHIELD (season 4, eps 1-6)

44. Doctor Strange

45. Black Panther

46. Agents of SHIELD (season 4, eps 7-8)

47. Agents of SHIELD: Slingshot (season 1, eps 1-6)

48. Agents of SHIELD (season 4, eps 9-22)

49. Spider-Man: Homecoming

50. Thor: Ragnarok

51. Inhumans (season 1)

52. The Punisher (season 1)

53. Runaways (season 1)

54. Agents of SHIELD (season 5, eps 1-10) – allowing for time travel craziness

55. Jessica Jones (season 2)

56. Agents of SHIELD (season 5, eps 11-18)

57. Cloak & Dagger (season 1)

58. Cloak & Dagger (season 2)

59. Luke Cage (season 2)

60. Iron Fist (season 2)

61. Daredevil (season 3)

62. Runaways (season 2)

63. The Punisher (season 2)

64. Jessica Jones (season 3)

65. Ant-Man and the Wasp (watch credits scene after Infinity War)

66. Avengers: Infinity War

67. Agents of SHIELD (season 5, eps 19-22) – Concurrent with Infinity War

68. Agents of SHIELD (season 6) – takes place in Endgame's five-year time jump

69. Agents of SHIELD (season 7) – takes place in Endgame's five-year time jump

70. Runaways (season 3) – seems to mostly take place post-Snap, but with no references to it

71. Avengers: Endgame

72. Loki (allowing for timey-wimey, alternate timeline weirdness)

73. What If...?

74. WandaVision

75. The Falcon and the Winter Soldier

76. Shang-Chi and the Legend of the Ten Rings

77. Eternals

78. Spider-Man: Far From Home

79. Spider-Man: No Way Home

80. Hawkeye
 

Upcoming MCU movies and TV shows​

 
Ngoja nijaribu game hii ... character yangu ni Bucky Barnes
 
Dadeki nikichagua character inabidi niifatilie kindaki ndaki?
Daah mimi aiisee black panther.
Nakumbuka kwenye civil war jamaa hakupigwa na mtu yoyote yule.
Aliwapa introduction ya ukweli kwamba he was a true King of wakanda

RIP my man Chadwick. WF.
 
Wazo zuri

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
hivi The Avengers hawaoni Russia & Ukraine crisis au ndio haijafikia kuwa Avengers level threat[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…