Gal gadot anacheza wonderwoman ngoja tuone 2021 inatoka The Batman kama Catwoman atakuwemoDare devil naikubali sana ila sijui why haikuletwa nyingine.
Cat woman pia niliichekigi ile ya kwanza ilikuwa mwaka 2008/2009. Ila nimeona Gal Gadot instagram anaicheza part 2.
Black panther nimeikubali mno,Wana marvel ni noma lakini DG nao ni kisanga,
Marvel wamenikosha hapa
1. Doctor stranger
2. Thor: ragnarok
3. Captain America : civil war
4. Iron man 3
5. Avengers: infinity war
Walipo kuja kuni boa
1. black panther
2. ant-man & the wasp
3. deadpool 2
4.thor: tha dark world
5.venom
6. Karibia series zao zote
Series marvel za kawaida mno.. ngoja tuone series ya Loki,Vision and Wanda mwaka 2021,She hulk tuone zitakua vipi.Wana marvel ni noma lakini DG nao ni kisanga,
Marvel wamenikosha hapa
1. Doctor stranger
2. Thor: ragnarok
3. Captain America : civil war
4. Iron man 3
5. Avengers: infinity war
Walipo kuja kuni boa
1. black panther
2. ant-man & the wasp
3. deadpool 2
4.thor: tha dark world
5.venom
6. Karibia series zao zote
Hulk wanabadilisha sana mastaa ndio nilikiwa nakerekwa. Wa part one mwingine, part 2 mwingine na kwenye avenger mwingine.Series marvel za kawaida mno.. ngoja tuone series ya Loki,Vision and Wanda mwaka 2021,She hulk tuone zitakua vipi.
Deapool ukitaka uipende angalia Once upon Deadpool. Inachekesha sana.
Katika supervillains ninaowakubali loki akosekani,Series marvel za kawaida mno.. ngoja tuone series ya Loki,Vision and Wanda mwaka 2021,She hulk tuone zitakua vipi.
Deapool ukitaka uipende angalia Once upon Deadpool. Inachekesha sana.
HahaaaHulk wanabadilisha sana mastaa ndio nilikiwa nakerekwa. Wa part one mwingine, part 2 mwingine na kwenye avenger mwingine.
Loki ni kiungo mchezeshaji kwenye muvi za thor.. chizi sana yule jamaa. Afu bado hajafa kama tulivyoonyeshwa kwenye Infinity warKatika supervillains ninaowakubali loki akosekani,
Wakikutana na kaka yake, plan A ni "get help"
Series ya loki lazima niicheck nione mambo yake.
Hahaaa spiderman Je? Kipindi hiko bado MCU ilikua bado haijatengenezwa so walikua wanauza characters kwa makampuni yenye pesa.. hulk ya 2003 kacheza eric bana kama sijakosea ya 2008 kacheza Edwards Norton baadae naona walishindwa kufika agreement so ndio akapewa nafasi Mark Rufalo yeye akaanzia kwenye Avenger 2012.Hulk wanabadilisha sana mastaa ndio nilikiwa nakerekwa. Wa part one mwingine, part 2 mwingine na kwenye avenger mwingine.
Eric ndio nilimkubali.Hahaaa spiderman Je? Kipindi hiko bado MCU ilikua bado haijatengenezwa so walikua wanauza characters kwa makampuni yenye pesa.. hulk ya 2003 kacheza eric bana kama sijakosea ya 2008 kacheza Edwards Norton baadae naona walishindwa kufika agreement so ndio akapewa nafasi Mark Rufalo yeye akaanzia kwenye Avenger 2012.
For sure.. Tom atafika nayo mbali sana hii muvi umri unaruhusuEric ndio nilimkubali.
Spider man inaweza isiwe ishu coz ile movie imeanza kutoka kitambo sana na ujuavyo binadamu tunakua. So huenda Tobby alibadilika physically so hata hizo movie hazikumkaa vyema.
For sure.. Tom atafika nayo mbali sana hii muvi umri unaruhusu
Yeah nahisi alifanya mambo yake ya illusion,Hahaaa
Loki ni kiungo mchezeshaji kwenye muvi za thor.. chizi sana yule jamaa. Afu bado hajafa kama tulivyoonyeshwa kwenye Infinity war
Aisee najiuliza kwani watu hawampendi adrew, au hawaipendi stori ilivyokaa, au wamechukizwa kwa kusitishwa spider man 4,Tom Holland aliyopo kwenye Avanger na Far from home. Wa pili sikumpenda ase..
Yeah ndio maanaMysterio alikua anatumia tech ila loki ni mzee wa Mischief.. Kevin Feige anasema loki hakufa coz macho hayakubadirika kua Blue
Ni kweli sam raimi kazitendea haki ila pia Jon Watts pia kazitendea haki hizi za mwaka huu..Aisee najiuliza kwani watu hawampendi adrew, au hawaipendi stori ilivyokaa, au wamechukizwa kwa kusitishwa spider man 4,
Ila Sam raimi kazitendea haki spider man zake.
Sio kwamba Thor hudanganya kwa ujinga bali anampenda sana mdogo wake.. Hata akitenda vipi bado anampenda. Hapo ndioo loki anapo manipulate akili ya kaka yakeYeah ndio maana
Aliweza kudanganya watu billioni saba
Ila Loki ataishia kumdanganya kaka yake.ππ