Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,334
Yeah.Sio kwamba Thor hudanganya kwa ujinga bali anampenda sana mdogo wake.. Hata akitenda vipi bado anampenda. Hapo ndioo loki anapo manipulate akili ya kaka yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah.Sio kwamba Thor hudanganya kwa ujinga bali anampenda sana mdogo wake.. Hata akitenda vipi bado anampenda. Hapo ndioo loki anapo manipulate akili ya kaka yake
Ok, nipe link 720p nikaishushe.Yeah nushaipata kiongozi..
😳😳Sasa wewe huwa unazipata wapi?Woiii mimi hata sijuagi mambo ya kupakua mkuu..muulize huyo mkuu Tony-stark
Nanunua kwa waliozipakua.. mm naona kukaa nasubiria muvi imalize kupakua nachelewa. Nikitoka mishe napitia kwa jamaa atudio kwake hakosi muvi. Ananifanyia singo muvi moja kwa buku na Complete season buku mbili😳😳Sasa wewe huwa unazipata wapi?
Hiyo buku me ni ya bundle tu usiku gb 10 nashusha mizigo niitakayo.Nanunua kwa waliozipakua.. mm naona kukaa nasubiria muvi imalize kupakua nachelewa. Nikitoka mishe napitia kwa jamaa atudio kwake hakosi muvi. Ananifanyia singo muvi moja kwa buku na Complete season buku mbili
Fanya kuinstall bitcomet,Daah mimi nishashindwa kwakweli kwanza sijui kupakua muvi..
2021 kwenye BATMAN ya Robert Pattinson,Catwoman atakuwapo.Gal gadot anacheza wonderwoman ngoja tuone 2021 inatoka The Batman kama Catwoman atakuwemo