Joe Unruly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 203
- 187
Series pekee ya Marvel walopatia ni Daredevil kwa mtazamo wangu...kuanzia villains mpaka heroes.Series marvel za kawaida mno.. ngoja tuone series ya Loki,Vision and Wanda mwaka 2021,She hulk tuone zitakua vipi.
Deapool ukitaka uipende angalia Once upon Deadpool. Inachekesha sana.
Deadpool akaanzie kwa Black Panther au Spiderman kwa kina GOTG-Thor anawatosha!..Tarehe 16 mwezi huu Ryan Reynolds (Deadpool) kasema wamekubaliana tayari na uongozi wa MCU so rasmi ataingia kwenye kundi.. Imagine wakutane na akina peter Quill full vicheko tu
Mzee MCU ilikuwa inabebwa na RDJ hebu kaangalie mishahara yao uone margin ilivyokuwa kati ya RDJ na wengine!.For sure watu wako excited kwa hili... Mimi Iron man naona anakuzwa tu..
Hao jamaa mwaka huu wametoa Wonderwoman 1987 kama sikosei, ni Animation!.Upande wa DCU napo kumenoga asee January hapo tu tunaanza na Birds of Pray.. ni solo muvi ya Harley Quinn kutoka kwenye crew ya Suicide Squad.. Quinn anacheza kama female Joker...
Baadae kinatoka Wonderwoman 1984.. Daah can't wait.
Aisee ni mashine mkuu...jaribu kuichekiSijawahi kuiona nimeona sehemu wanasema kua wanampamgo wa kutengeneza singo muvi ya yake
Bila RDJ, Marvel isingekua hivi ilivo... ndo mana baada ya Iron man ya kwanza kuhit akadai aongezewe mshahara... kampuni ikampunguzia mshahara Terrence Howard alokua ameigiza kama Colonel Rhodes mpaka Howard akadrop out wakamchukua CheadleMzee MCU ilikuwa inabebwa na RDJ hebu kaangalie mishahara yao uone margin ilivyokuwa kati ya RDJ na wengine!.
Na ndio ikkafanya waanze kuconsider mdrop RDJ baada ya Iron2 lakini wakiangalia rating zake ikawa ngumu!. Na yeye akawaletea mgomo kutokea Avengers 2 mpaka wenzie waongezwe mishahara yao!.Bila RDJ, Marvel isingekua hivi ilivo... ndo mana baada ya Iron man ya kwanza kuhit akadai aongezewe mshahara... kampuni ikampunguzia mshahara Terrence Howard alokua ameigiza kama Colonel Rhodes mpaka Howard akadrop out wakamchukua Cheadle
Yeah i know that, ila kabla hawajatoa hiyo tayari kuna animation wameachia mwaka huu pia!..
ila jamaa annifurahisha sana vituko vyake...naona chadwick kabakiza muvi mbili kwenye mkataba wakeDeadpool akaanzie kwa Black Panther au Spiderman kwa kina GOTG-Thor anawatosha!..
Nimesema hivyo sababu niliwahi soma comics za Deadpool Vs Black Panther, Jamaa alienda akaiba mlima mzima wa Vibranium kule wakanda akaenda kuupiga mnada California. Mpgie picha T'challa anavyokua serious sasa karudi gome kaambiwa mlima mzima umepoteea akaanza msaka deadpool!.
basi sijaicheki kabisa
ipo torrent tayari!..
WamekufajeKwa upande wa Black widow itakua ni muvi ambayo itakua inaturudisha nyuma mpaka mwaka 2016 baada ya avangers kupigana wao kwa wao hivo Japo Black widow kashakufa ila tutamuona pia Tony Stark japo kafa pia atakuwemo.. So msishangae watu wakatumia Time Travelling kutoka 2024 (kwa upande wa marvel wao wako 2023) kwenda 2016 kumrudisha Tony au Black widow... nawaza tu
Inaonekana sio mpenzi wa hzi muvi.Wamekufaje
Safi Sana umenikumbusha mbali sana.mi mwenyewe huwa ni muumini mzuli Sana wa hizi muv.Inaonekana sio mpenzi wa hzi muvi.
Ipo hvi..kwenye Endgame baada ya kuweza kutengeneza time machine Black widow,Colonel Rhodes,barton clint,Nebula wali fly back mpaka mwaka 2014. Rhodes na Nebula walienda Morag..black widow na Clint walienda Vormir kuchukua Soul Stone. Ili uchukue soul stone inabidi utoe roho ya mtu unayempenda,Clint na Black widow walikua ni marafiki mno kama kaka na dada. So clint akasema atajitoa yeye,Black akagoma akasema ataenda yeye.wakaanza kupigana mwisho black widow akafanikiwa kudondoka kwenyeshimo la kutolea kafara. Ndipo alipokufa hapo!
TONY STARK
Baada ya kupambana na Thanos akafanikiwa kumnyanganya infinity stones akazivaa yeye zile stones ni very powerful kwa binaadamu wa kawaida zinaweza kumuua so tony alijitoa muhanga akasnap fingers..stones zikamuua. Kwenye kundi lao mtu anayeweza himili nguvu zile ni Carol Danvers (Cap marvel)..Thor kiasi na Hulk.
Yeah zote hzo zina muendelezo. Mwaka 2021 utakua mwaka mtamu maana muvi nyingi zinatokaKuanzia.
Iron man1.2.3
Spider Man......zote
Black widow
Captain America
Black panther
Avengers 1.2.3.4
The justice league
Thor .....zote
Xmen.dark Phoenix
Captain marvel
The Aquar man
Doctor strange
Deadpoor 1.2
Guardian of the Galax 1.2
Na nyinginezo nyiingi kumbe Zina miendelezo yake!!!. Hi sir ya kukosa
Ndio,Je Dark phoenix ndio powerful Mutant? Kwangu jibu ni ndio... sijui nyie wadau
Kweli kabisaa huyu mlembo ni Moto wa kuotea mbali.Je Dark phoenix ndio powerful Mutant? Kwangu jibu ni ndio... sijui nyie wadau