Aiseee hapo kuna shuri huyo mwingine ni nani?Wakuu, Iron heart.
Kama mnakumbuka iron man 1, kule kwenye Cave alipokuwa anatengeneza mark1 suit, sauti ya nyundo, damn marvel. DAMN.
huyo dogo ndo IronHeart bro.Aiseee hapo kuna shuri huyo mwingine ni nani?
Movie za mcu hautakiwi kumiss hata moja,naona kuna supreme hapo wang,kuna iron heart na details kibao
Ngoja nimvizie Canadian Lad kule youtube
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
comiccon in Tz it’s like living in a f*cking dream,Najua inaweza kuwa just a "pipe dream", ila naishi kuja kuona "Comic Convection (ComicCon)" kama hii ya San Diego (SDCC) mwaka huu, itakapo fanyika tanzania. i will be the happiest creature on that day.
he does that a lot, anapotea halafu anarud ghafla kama ni role play Da’vinci angekuwa Captain Marvel na sio Dr strange kama anavyodai yeye😅Wakuu, mwenye personal contacts za Da vinci, afanye kumcheki hivi. I miss that bro (NO HOMO) kipindi kama hiki.
kingdom yake ya underwater, ule ni ufalme mwingine wa chini ya majiWale kina avatar kwenye Black panther wametokea wapi tena?!
Phase 4 wamezingua kinomaIla 2025 kutokuwa kwa Moto uku Kang dynasty kule secret wars natumai watachua criticism za phase 4 wakazifanyia kazi
Oh litakufa jituNyie wakanda forevere 11.11.22 woyoooo
niaje wakuu, natumai mpo pouwa. mimi ninataka ku-share some nuggets of gold katika maswala ya film, ingawa sio mcu, ila madirector au events, na actors ni favourite kutoka mcu.
1. The gray man
Aisee, hii kitu iko pouwa. kama mliangalia terminal list mkaipenda, basi hii utaipenda pia. ina vibe la "john wick, nobody na extraction" kwa pamoja. Directors ni The Russo bros(hakuna mcu bila hawa jamaa), wameitendea vyema movie, pia yupo "cap A" katika nafasi ya roho mbaya, kwa maoni yangu kaitendea vyema sana, Pia kuna ryan gosling, mwamba alipotea sana, kafanya vyema sana, hopefully ndo itakuwa time ya yeye kurudi kwenye spotling.
imeshatoka, imeandalia na netflix.
2. The Woman King
Bila shaka wote tunawafahamu "Dora miraje", wale walinzi wa familia ya kifalme ya Wakanda, pia wanashika nafasi ya ujenerali katika nchi ya wakanda(kwenye what if tuliona mama yake black panther ni general anayeongoza jeshi la waknda, pia alitoka katika kikosi cha Dora miraje){Pia Black ponther ali-freeze alivyomuona lupita nyongo ambae ni covert operative/spy kutoka kikosi cha dora miraje, labda tungekuja kuona black panther akimuoa huyo dora miraje.[Until Valhalla, Chadwick.]}.
Sasa, tushawahi kufikiria labda Dora miraje ni "Inspiration" kutoka historia ya kweli? Kwamba kuna kikundi cha kijeshi cha wanawake watupu kilichowahi kuwepo hapa africa? Na kilikuwa vyema katika medani za vita?
Woman King inatupa muono kidogo wa kikosi cha walinzi wanawake wa ufamle wa Dahomey(Dahomey women warriors), waliokuwa na jukumu la kulinda familia ya kifamle na ufamle wa dahomey kwa ujumla. imekaa pouwa sana{trailers}, pia humo ndani kuna fight scenes{kutoka kwenye trailer} zimekaa ki-dora miraje sana(tunajua kutokana na mcu, dora miraje wako pouwa sana, si waoga, na wanajua wakifanyacho, well, bucky, cap A mpya na yule Cap A wa muda kutoka falcon and winter soldier, wanaifahamu shughuli yao ipasavyo). Dahomey inapatika huko Benin.
Waigizaji, mimi nimemuona na kumfahamu mmoja tu, yule mother black wa kwenye Suicide squad. anatoa shoo ya nguvu.
bado ni trailer tu, ila inatoka mwezi wa 9 au 10. kwa maoni yangu, ni worth the watch.
Story ya kawaida Sana sema kwenye action ndo balaaNimemaliza kuangalia The Gray man nachotaka kusema tu ni kwamba
Russo brothers wanajua kutengeneza movie.
Yes nazungumzia kwenye action wameiweka tofauti flan hivi...kama unataka story nzuri kaangalie titanic [emoji28]Story ya kawaida Sana sema kwenye action ndo balaa
Nimemaliza kuangalia The Gray man nachotaka kusema tu ni kwamba
Russo brothers wanajua kutengeneza movie.
Kabisa...maana tumezoea movie kuwa adopted kutokea kwenye games, why not vice versabro, gray man ikipata game lake la sytle ya fps, itakuwa pouwa sana.
phase 4 waneteleza sana.MCU phase 4 imeisha tunaingia phase mpya and Movie & Series mpya zimeshatangazwa,
Kama wadau mnaonaje mafanikio ya movies & series za phase iliyopita 2021/2022...
View attachment 2303891
- Zipi ambazo uliona ni hits
- Zipi ambazo umehis ni miss
- Na sababu...